Ndugu zanguni wenye mabinti mashuleni tuwafatilie kwa karibu

Kuna shule fulani watoto wa advance wanasagana Ile mbaya plus kuliwa na walimu wao.Nikiona mzazi anampeleka mtoto pale namhurumia sana
 
Duh! pole sana kama mzazi,unaonekana ni baba mwelewa,mwenye upendo.
binti anahitaji usaidizi wa haraka sana kabla tatzo halijawa kubwa.
 
Wanasagana... Na wewe hilo jukumu la kukagua simu yake ungemwachia mama yake
 
Ila yote tisa nimesikiliza confession nyingi nimeona wadada wanaosaga wenzao wanajua sana kutongoza kuliko wanaume wengi, wanatoa vijizawadi zawadi vingi..mara hugs, mara vi romantic gestures

Yani mdada hata kama alikuwa hana mawazo ya kusagwa, atafanyiwa vishawishi na asipoangalia anasagwa na mdada mwenzie Skylar
 
Chai
 
Mlinzii kwa sisi wa KRISTO ni YESU PEKEE Ndie Alindaee.

Nimeshuhudia watu walio walea watoto KI GETI KALI na wakaharibikiwaaa.

Wengine tumeishi ki vyetu vyetu muda mrefu kidogo tupo huru hakuna wa kukuchunga ama kuku kataza kitu lakini hatukuiacha njia.

Hofu ya Mungu na kutamani siku moja kua mtu wa maana vilituongoza.. binafsi toka udogoni mwangu nilikataa kuwa mtu wa ovyo ovyo

NB. Kama bwana asipo ulinda mjii wakeshao wafanya kazii bureeeee na hilo ndio neno la bwana WOTEE tuseme aminaaa
 
Case study: Dkt. Gwajima D

Post in thread 'Nampongeza mwananchi kwa kunipa ushirikiano wa kusambaratisha ndoa ya Mwanafunzi wa Darasa la 6 Kata ya Mambali Nzega, Tabora' Nampongeza mwananchi kwa kunipa ushirikiano wa kusambaratisha ndoa ya Mwanafunzi wa Darasa la 6 Kata ya Mambali Nzega, Tabora
 
mambo ya mjini hayo mkuu! Chukulia poa! Ndio dunia iliko sasa hivi.πŸ‘‡
 
Uzi unahusu mabinti, wewe unakuhusu nini mkuu??
Wangefika kwa mama zao ningekustua
 
Bwege sana wewe 😁😁
 
Mkuu usisikilize maneno ya watu wewe Kama msomi fanya utafiti kwanza Mkuu .

Mimi nimewahi kusingizwa issue na watu wa mtaani so just be smart usije muhukumu bure huyo rafiki yake .
Ulisingiziwa nn mkuu Tupe taarifa zaidi 😀
 
She is still a child, umri ukifika atakua huru ila kwa sasa kama mzazi bado nia wajibu wa kuhakikisha safari yake inakua salama
Child miaka mingapi? Usimbane sana akakosa mikuyenge ukubwani akaharibikiwa.
Muache acheke nao, ila mibazazi hapana, aliwe na watoto wenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…