Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Huyo ni miongoni mwa wale watanzania wavivu na waoga a.k.a mnyonge wa magufuriMtoa hoja acha kujenga hofu kwa wanaotaka ku take risks, na elewa kama ni mwoga wa ku take risks kwenye maisha utakufa masikini otherwise uwe ni zile surnames za royal families, beach boy wa SA ana uhakika wa kutibiwa vema kwenye hospital ya serikali ya SA kuliko middle class wa hapa kwenye private hospital, huo ni mfano mmoja tu, wazamiaji kama umejiandaa sky it's the limit, maisha popote na chance ya kufanikiwa ni pale penye high risks za kimaisha
Umejibu vyema Sana, mtoa mada Hana utofauti na mwalimu wa Mathe,Mtoa hoja acha kujenga hofu kwa wanaotaka ku take risks, na elewa kama ni mwoga wa ku take risks kwenye maisha utakufa masikini otherwise uwe ni zile surnames za royal families, beach boy wa SA ana uhakika wa kutibiwa vema kwenye hospital ya serikali ya SA kuliko middle class wa hapa kwenye private hospital, huo ni mfano mmoja tu, wazamiaji kama umejiandaa sky it's the limit, maisha popote na chance ya kufanikiwa ni pale penye high risks za kimaisha
Soma tens vizuri Ili umueleweMbona Geita kila siku watu wanauwawa ama Geita ipo South Africa?[emoji276]
Achana na chakula icho. Watu tupo uku miaka kibao na familia zetu na tunaishi vzr tu. Kwani bongo amuuwani?tena kisa mapenzi.bora huku tunatafuta kuleta nyumbani. Changamoto za maisha zipo kila sehem.kwanza huku matibabu bureeee tena ya hali ya juu. Ukipelekwa hospali kila kitu buree. Kuanzia vipimo mpaka oparesheni kubwa yoyote ile.na chakula kwa mgonjwa buree ata ukae mwaka wodiniMtoa hoja acha kujenga hofu kwa wanaotaka ku take risks, na elewa kama ni mwoga wa ku take risks kwenye maisha utakufa masikini otherwise uwe ni zile surnames za royal families, beach boy wa SA ana uhakika wa kutibiwa vema kwenye hospital ya serikali ya SA kuliko middle class wa hapa kwenye private hospital, huo ni mfano mmoja tu, wazamiaji kama umejiandaa sky it's the limit, maisha popote na chance ya kufanikiwa ni pale penye high risks za kimaisha
Nataka kuja nisaidie tu kimawazo nianzie maisha mji ganiMtoa hoja acha kujenga hofu kwa wanaotaka ku take risks, na elewa kama ni mwoga wa ku take risks kwenye maisha utakufa masikini otherwise uwe ni zile surnames za royal families, beach boy wa SA ana uhakika wa kutibiwa vema kwenye hospital ya serikali ya SA kuliko middle class wa hapa kwenye private hospital, huo ni mfano mmoja tu, wazamiaji kama umejiandaa sky it's the limit, maisha popote na chance ya kufanikiwa ni pale penye high risks za kimaisha
Usipende kitongaAchana na chakula icho. Watu tupo uku miaka kibao na familia zetu na tunaishi vzr tu. Kwani bongo amuuwani?tena kisa mapenzi.bora huku tunatafuta kuleta nyumbani. Changamoto za maisha zipo kila sehem.kwanza huku matibabu bureeee tena ya hali ya juu. Ukipelekwa hospali kila kitu buree. Kuanzia vipimo mpaka oparesheni kubwa yoyote ile.na chakula kwa mgonjwa buree ata ukae mwaka wodini
Samia na ccm kama mnasoma haya yanayoandikwa humu na Hawa vijana ni representative ya Mawazo ya vijana wengi wa Tanzania!! Haya ni mawazo ya watu waliokata tamaa hivyo they are prepared for any eventuality ; kwao maisha hayana maana tena! That should be taken as a red flag to the country!Umejibu vyema Sana, mtoa mada Hana utofauti na mwalimu wa Mathe,
Kwani hapa hapa Tanzania hakuna vibaka? Walala hoi hawapo????
Vijana tulio tayari kutake Risk tujichanganye huko duniani, kwani maisha ni popote