Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Maisha kwa madiba ni magumu sana ila bado watanzania kutoka uswazi wakiamini maisha yapo kule.
kilichonishangaza yani mtu kashindwa kufanya kazi kuuza barabarani anafika kule na kuanza kuuza hiyo kazi kama kuuza sigara,nyanya na mengine.
pili asilimia kubwa wale vibaka na watoto watukutu wanakwenda. Kuharibika zaidi wafikapo.
kuna group lipo facebook la mabaharia kila kukicha R.I.P na zenyewe kauliwa, sijui kachomwa visu na mengine wasiyoweza kusema kuficha aibu za huko.
Afrika Kusini kama pesa wala mitaji na elimu usijisumbue kwa kuzamia utamia.
Nyumbani kumenoga japo ccm inataka kuipa DP world