Ndugu zenu mnawaita Mabaharia waliopo Afrika Kusini wanaishi maisha magumu sema kukubali matokeo ni ngumu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Maisha kwa madiba ni magumu sana ila bado watanzania kutoka uswazi wakiamini maisha yapo kule.

kilichonishangaza yani mtu kashindwa kufanya kazi kuuza barabarani anafika kule na kuanza kuuza hiyo kazi kama kuuza sigara,nyanya na mengine.

pili asilimia kubwa wale vibaka na watoto watukutu wanakwenda. Kuharibika zaidi wafikapo.

kuna group lipo facebook la mabaharia kila kukicha R.I.P na zenyewe kauliwa, sijui kachomwa visu na mengine wasiyoweza kusema kuficha aibu za huko.

Afrika Kusini kama pesa wala mitaji na elimu usijisumbue kwa kuzamia utamia.

Nyumbani kumenoga japo ccm inataka kuipa DP world
 
Mtoa hoja acha kujenga hofu kwa wanaotaka ku take risks, na elewa kama ni mwoga wa ku take risks kwenye maisha utakufa masikini otherwise uwe ni zile surnames za royal families, beach boy wa SA ana uhakika wa kutibiwa vema kwenye hospital ya serikali ya SA kuliko middle class wa hapa kwenye private hospital, huo ni mfano mmoja tu, wazamiaji kama umejiandaa sky it's the limit, maisha popote na chance ya kufanikiwa ni pale penye high risks za kimaisha
 
Huyo ni miongoni mwa wale watanzania wavivu na waoga a.k.a mnyonge wa magufuri
 
Mtoa hoja acha kujenga hofu kwa wanaotaka ku take risks, na elewa kama ni mwoga wa ku take risks kwenye maisha utakufa masikini otherwise uwe ni zile surnames za royal families, beach boy wa SA ana uhakika wa kutibiwa vema kwenye hospital ya serikali ya SA kuliko middle class wa hapa kwenye private hospital, huo ni mfano mmoja tu, wazamiaji kama umejiandaa sky it's the limit, maisha popote na chance ya kufanikiwa ni pale penye high risks za kimaisha
Umejibu vyema Sana, mtoa mada Hana utofauti na mwalimu wa Mathe,
Kwani hapa hapa Tanzania hakuna vibaka? Walala hoi hawapo????
Vijana tulio tayari kutake Risk tujichanganye huko duniani, kwani maisha ni popote
 
Vijana wengi wanaija na kenya wamefanikiwa sana sababu ya kutoka nchini kwao.
 
Mtoa hoja acha kujenga hofu kwa wanaotaka ku take risks, na elewa kama ni mwoga wa ku take risks kwenye maisha utakufa masikini otherwise uwe ni zile surnames za royal families, beach boy wa SA ana uhakika wa kutibiwa vema kwenye hospital ya serikali ya SA kuliko middle class wa hapa kwenye private hospital, huo ni mfano mmoja tu, wazamiaji kama umejiandaa sky it's the limit, maisha popote na chance ya kufanikiwa ni pale penye high risks za kimaisha
Achana na chakula icho. Watu tupo uku miaka kibao na familia zetu na tunaishi vzr tu. Kwani bongo amuuwani?tena kisa mapenzi.bora huku tunatafuta kuleta nyumbani. Changamoto za maisha zipo kila sehem.kwanza huku matibabu bureeee tena ya hali ya juu. Ukipelekwa hospali kila kitu buree. Kuanzia vipimo mpaka oparesheni kubwa yoyote ile.na chakula kwa mgonjwa buree ata ukae mwaka wodini
 
Nataka kuja nisaidie tu kimawazo nianzie maisha mji gani
 
Achana na chakula icho. Watu tupo uku miaka kibao na familia zetu na tunaishi vzr tu. Kwani bongo amuuwani?tena kisa mapenzi.bora huku tunatafuta kuleta nyumbani. Changamoto za maisha zipo kila sehem.kwanza huku matibabu bureeee tena ya hali ya juu. Ukipelekwa hospali kila kitu buree. Kuanzia vipimo mpaka oparesheni kubwa yoyote ile.na chakula kwa mgonjwa buree ata ukae mwaka wodini
Usipende kitonga
 
Umejibu vyema Sana, mtoa mada Hana utofauti na mwalimu wa Mathe,
Kwani hapa hapa Tanzania hakuna vibaka? Walala hoi hawapo????
Vijana tulio tayari kutake Risk tujichanganye huko duniani, kwani maisha ni popote
Samia na ccm kama mnasoma haya yanayoandikwa humu na Hawa vijana ni representative ya Mawazo ya vijana wengi wa Tanzania!! Haya ni mawazo ya watu waliokata tamaa hivyo they are prepared for any eventuality ; kwao maisha hayana maana tena! That should be taken as a red flag to the country!
Don’t sleep in your mansions thinking that all is well in the country.
 
Back
Top Bottom