Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?

Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.

Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.

Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
 
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?

Mmechukia kutopata ubunge je kwani ubunge ni ajira? Hapana.

Kwa mukatadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na Ccm.

Sasa mntaka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh,jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
Jifunze tofauti Kati ya Nchi na Serikali. Nchi yetu imebarikiwa, ila Serikali iliyopo Ni dhalimu. Nchi haijawahi kuua watu wasio na hatia ila Serikali imefanya hivyo mara nyingi
Nchi yetu haijawahi kuteka watu, ila Serikali imefanya hivyo.
Nchi yetu ndio mama yetu, Serikali ni kama demu tu, huja na kupita, Leo utampata mzuri na mwenye akili, siku nyingine utampata mbaya na mchawi
 
Kikubwa tupendane!!! Pendaneni! Acheni chuki sisi wote ni sawa Mungu katuweka kwenye hii Nchi Tanzania wote tu sawa! Hakuna mwenye haki miliki ya Tanzania peke yake. Chuki ni mbaya inaweza kusababisha mfarakano kwenye hii familia Tanzania
Pendaneni wenzenu kuwa upinzani sio sababu ya kuwachukia na kuwaonea
 
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?

Mmechukia kutopata ubunge je kwani ubunge ni ajira? Hapana.

Kwa mukatadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na Ccm.

Sasa mntaka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh,jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
Hakuna anayechukia nchi.. Au unaongelea utawala wa kibaguzi?
 
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Na huyu mchina (kutoka nchi rafiki) anapaka matope, au Ni kweli?!
_____________________
_____________________________________________________
From: "XMIAU WANG-JU @xiau.cn" <Xwang-ju@ xiau.cn >
Date: Thursday, 3 December 2020 at 21:55
To: Barbaros Dutoglu < bdutoglu@lenercoenerjLcom
CC: <skiwavi@yahoo.com>,
Subject: Re: Re: TANZANIA OPPORTUNITY
My good friend Barbaros!
How are you?
Are you okay? No, no, non, no, How did you come up with Tanzania as an investment country'?
Tanzania is moofa. Not good. Don't My friend, you need to think hard. not good idea. You are going
to be 10 time better by investing in Somalia or Syria than invest in Tanzania. their taxes are very
high, very high, before you start your business you will get tax before start business
Every three month, they are called tra. they will be harassing you for taxes, you make this mistake,
you make that mistake, fine is $1million because you don’t pay taxes. Very sad in tanzania: many
government companies, osha. fire, many many agency will be coming at your door for penalties, fees
and bribe and come back every month for more money, every time they are finding fake mistakes.
They are so many, very many and threats you to joil or kill you, and for business if you cant bribe, no
business, and the bribes, every time telJingyou 10% to get business, many people come to want
bribe if you refuse, they don't pay you. It is dangerous to do business on Tanzania. When you bring
goods into Tanzania, you declare value based on the purchase price, they will uplift price 3 times,
and sometime you leave it because they want a big bribe. It is a big gamble.
I invest S3,500,000, by time I leave Tanzania, last year 2019 October, I lost $1,375,000. Nothing is
good, everywhere, even on road, police will charge you a lot of money with fake road mistakes. Even
if they know you. every day they come with new mistake on your delivery vehicle, Look for Rwanda.
government is supportive or Zambia or Namibia if you don't want to come to Madagascar, but not
Tanzania. We talk on Wednesday, Call me please
Sincerely,
Wang.
_________________________________________________________________________________
From: Barbaros Outoglu < bdutoglu@enercoenerjLcom >
Date: 2020-12-03 21:51
To: XIMlAU WANG-JU <ximiau.wang-ju@xiau.co.cn>
CC: <skiwavi@yahoo.com>,
Subject: TANZANIA OPPORTUNITY
Hello Mr. Wang,
I do believe you are well in Madagascar. Things are okay here in Istanbul. Just finished the.
discussion with the finance company will follow up in the next two weeks before we make the
decision to move forward or not. What are your thoughts, any ide a for Tanzania or Madagascar?
Because these were top in our list, let us know so we can start. The plan is to start home.
distribution of natural gas in tanzania. My good friend Mr. Kiwavi will help get all permits and
registration paperwork although people are scare me not to go
Thank you,
Barbaros
 
Sasa mntaka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh,jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
Na hili hapa chini unalizungumzia vipi?

Jifunze tofauti Kati ya Nchi na Serikali. Nchi yetu imebarikiwa, ila Serikali iliyopo Ni dhalimu. Nchi haijawahi kuua watu wasio na hatia ila Serikali imefanya hivyo mara nyingi
Nchi yetu haijawahi kuteka watu, ila Serikali imefanya hivyo.
Nchi yetu ndio mama yetu, Serikali ni kama demu tu, huja na kupita, Leo utampata mzuri na mwenye akili, siku nyingine utampata mbaya na mchawi
wewe utakuwa muimba singeli,kwa mistari hii,nakuaminia
 
Wanafiki ndio wanaoichukia nchi yetu,kwani hata maovu yenye madhara kwa taifa wao ni kupongeza ilimradi maslahi yao yanapatikana kwa halali au haramu.Ila wanaosema ukweli Bila maslahi yeyote ndio wazalendo wa kweli.
 
Jinsi mnavyiwachukia watu wa Hai ni bora waachwe wawe nchi huru
 
Mkuu Bora kujua chanzo Cha tatizo kuliko kutuhum,why haya yote ukipata jibu njoo tena tujadili,taifa mnalibinua binua wenyewe then mnatafuta mchawi, Tamaa za baadhi ya watu ndo zinafikisha taifa hapa, kuwataja wapinzani ni propaganda tu
 
Tanzania inasonga mbele, nyie kaeni mkilialia kama watoto.
 
Hai walichagua Ccm hata kabla ya uchaguzi.
Hai hawajawahi na hawatakaa waipendae ccm na hata mama yake tanu hawakuipenda. Ndiyo maana Mangi wao alitaka uhuru wa Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom