Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

Ndugu zetu CHADEMA kukosa Ubunge sio sababu ya kuichukia nchi yenu

Mkuu Bora kujua chanzo Cha tatizo kuliko kutuhum,why haya yote ukipata jibu njoo tena tujadili,taifa mnalibinua binua wenyewe then mnatafuta mchawi, Tamaa za baadhi ya watu ndo zinafikisha taifa hapa, kuwataja wapinzani ni propaganda tu
CCM ndiyo wanaitafuna Nchi manyanyaso yao kwa wafanyabiashara wawekezaji ndiyo yaendelea kudidimiza Nchi kiuchumi
 
Habari ya ngurdoto alaumiwe mmiliki marehemu mrema
Hayo mengine furahieni ila mabaya mnayotamani yatokee mkumbuke tuu njaa hayachagui itikadi
Njaa ya Tanzania inaletwa na mfumo kandamizi wa CCM ya sasa iliyojaa manyanyaso kwa wafanyabiashara
 
Njaa ya Tanzania inaletwa na mfumo kandamizi wa CCM ya sasa iliyojaa manyanyaso kwa wafanyabiashara
Minyoo nikutanaga na ID yako powa ila nikiona hii avatar yako nawaza tuu vita😐😐
 
Tatizo hata wakitaka kuondoka mnawabania! Wakifanikiwa kutoka mnawaomba warudi eti mtawalinda! Akili za Ziro hatari.
Nani anabaniwa mbona Mwehu wenu Aunt Li kaenda ubelgiji kwa mabwana zake kuna aliyembania?
 
Nani anabaniwa mbona Mwehu wenu Aunt Li kaenda ubelgiji kwa mabwana zake kuna aliyembania?
Una hakika na unachokiongea au ushabiki unakusumbua? Mbinu aliyotumia kuondoka "mashetani watu" waliokuwa wamemkamia kawaachia "manyoya",hawaamini na wametahayari.Yule hakimu waliyemwongezea muda ili akamilishe "mpango mkakati" haramu kabaki na lundo la makaratasi! Kifupi "they are dumb founded"

Muulize Kamanda Ziro alivyowasihi warudi eti atawapa ulinzi baada ya njama zao kuwa kituko.
 
ambiwa uimbe wimbo wa kumsifu yeyote. Unaambiwa usiseme uongo kwa sababu umekosa. Lbada hii ndiyo aliita marehemu Raisi Mstaafu Mkapa "wivu wa kike". ACT wenyewe wameridhia. Kama ninyi ni magwiji mbona Zanzibar hamkupata hata Usheha!
 
Una hakika na unachokiongea au ushabiki unakusumbua? Mbinu aliyotumia kuondoka "mashetani watu" waliokuwa wamemkamia kawaachia "manyoya",hawaamini na wametahayari.Yule hakimu waliyemwongezea muda ili akamilishe "mpango mkakati" haramu kabaki na lundo la makaratasi! Kifupi "they are dumb founded"

Muulize Kamanda Ziro alivyowasihi warudi eti atawapa ulinzi baada ya njama zao kuwa kituko.
Siro kutoa ulinzi ni kazi yake. Makeke ypote ni ya kuhalalisha kukaa kwake huko na kupata makombo. Tatizo ni kuwa kajiweka kifungoni mwenyewe. He is not a free man. And those feeding him are not happy for him to live on their taxes.
 
Hujawahi kuwa ktk mazingira hayo,hivyo unaweza ongea utakavyo kama shabiki wa mpira anavyoona wachezaji ?wajinga" wanapokosa kufunga goli la "wazi"
 
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?

Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.

Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.

Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika.
Hilo tu.
 
Acha upuuzi wako.
Usidanganye, wakati huo CCM haikuwepo. Of cause kila mtu wakati huo alikuwa anataka kutetea watu wake, na mangi alikuwa huru kutaka kuifanya Kilimanjaro kuwa nhi. Mipango hiyo haikufanikiwa and that is history. Fikiria TZ ya sasa ingegawanyika tukawa na zaidi ya nchi 120. Wewe unang'ang'ania Kilimanjaro. Kilimanjaro is nothing without the rest of TZ just as Mara or Kagera is nothing without the rest of TZ. Afadhali hata Wasukuma wangekuwa na kanchi ka Wasukuma, sasa hivi wanekuwa matajiri, maana ndipo madini mengi ya TZ yanachimbwa, wewe umeng'ang'ania Mangi Mangi. Kama siasa za CHADEMA ni umangi ni kweli mmefirisika, maana TZ ina faida kwa kila kabila. Hivi Wachagga wangekuwa wanakaa wapi kama Mangi angefanikiwa. Maana mkoloni alichukuwa ardhi yote ya Kilimanjaro. Sasa hivi unamkuta mchaga sehemu yoyote ya TZ kama unavyomkuta Mkurya au Mmasai, wewe hii huoni ni faida kwa wote..unang'ang'ania mangi mangi. Think before you write or speak.
 
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?

Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.

Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.

Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
Umeuweka wazi upumbavu wako leo.
Issue siyo nchi ni uongozi mbovu,
Tofautisha utawala na nchi
 
Hata baba asipowatendea watoto haki ndani ya nyumba, watoto watakwenda kwa mjomba au shangazi kueleza namna baba anavyowatendea ili wapate suluhu
Kwa hoyo wazungu ndiyo wajomba na shangazi zenu? Kwa nini msiondoke kabisa na kuhamia ujombani au kwa shangazi?
 
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Wekeza uone mfano
Kama wanaporwa mbona bado wapo. Ukiona hawaondoki ujuwe bado wanapata faida. Kwenye madini mlisema wataondoka na kufunga migodi. Mpaka leo wapo na wanachimba. Muwekezaji ataondoka tu, kama ataona hapati faida na mpaka leo wote wapo, kwa hiyo hakuna aliyoporwa. Waliyoondoka ni wa;le wababaishaji wenye kampuni za mkononi au waliyopewa masirika wakitegemea kuyaweka mashirika rehani ya kukopea na kuchukuwa pesa kuendeleza biashara tofauti na walizopewa. Hao ni wengi!
 
Kwa hoyo wazungu ndiyo wajomba na shangazi zenu? Kwa nini msiondoke kabisa na kuhamia ujombani au kwa shangazi?
Una upeo mdogo, jaribu kuelewa indirect language ambayo nimeitumia, kama nchi haifuati mfumo wa sheria na katiba, basi kuna sheria za kimataifa, mikatama, pamoja na makubaliano ambayo yataibana nchi husika

Kamwambie na Jiwe hatuhami ila hatutanyamaza
 
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?

Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.

Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.

Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.

Utasemaje unaipenda nchi halafu wakati huohuo unashangilia wizi wa kura🤔
 
Jamaa walivyo na akili fupi kama pua ya mwenyekiti wao wana mawazo na tabia za kichawi.Vioja wafanye wao wakisemwa wanadai wanaonewa/wanasingiziwa.Si uchawi huo????? Kuroga wao na kulia zaidi wao!
Jamani pendaneni,,, bishaneni kwa hoja sio kebehi na matusi sisi ni watu wa Taifa moja, mbona ustaarabu imekuwa bidhaa adimu?
 
Back
Top Bottom