CCM ndiyo wanaitafuna Nchi manyanyaso yao kwa wafanyabiashara wawekezaji ndiyo yaendelea kudidimiza Nchi kiuchumiMkuu Bora kujua chanzo Cha tatizo kuliko kutuhum,why haya yote ukipata jibu njoo tena tujadili,taifa mnalibinua binua wenyewe then mnatafuta mchawi, Tamaa za baadhi ya watu ndo zinafikisha taifa hapa, kuwataja wapinzani ni propaganda tu
Njaa ya Tanzania inaletwa na mfumo kandamizi wa CCM ya sasa iliyojaa manyanyaso kwa wafanyabiasharaHabari ya ngurdoto alaumiwe mmiliki marehemu mrema
Hayo mengine furahieni ila mabaya mnayotamani yatokee mkumbuke tuu njaa hayachagui itikadi
Minyoo nikutanaga na ID yako powa ila nikiona hii avatar yako nawaza tuu vita😐😐Njaa ya Tanzania inaletwa na mfumo kandamizi wa CCM ya sasa iliyojaa manyanyaso kwa wafanyabiashara
Taifa linachafuliwaJe wewe ?!Wengine wamekubali kushindwa. Na halichafui kwa uongo taifa lao
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Wekeza uone mfanoMnasingizia wawekezaji wanaporwa pesa kimabavu na serikali huu ni upuuzi kabisa.
Nani anabaniwa mbona Mwehu wenu Aunt Li kaenda ubelgiji kwa mabwana zake kuna aliyembania?Tatizo hata wakitaka kuondoka mnawabania! Wakifanikiwa kutoka mnawaomba warudi eti mtawalinda! Akili za Ziro hatari.
Una hakika na unachokiongea au ushabiki unakusumbua? Mbinu aliyotumia kuondoka "mashetani watu" waliokuwa wamemkamia kawaachia "manyoya",hawaamini na wametahayari.Yule hakimu waliyemwongezea muda ili akamilishe "mpango mkakati" haramu kabaki na lundo la makaratasi! Kifupi "they are dumb founded"Nani anabaniwa mbona Mwehu wenu Aunt Li kaenda ubelgiji kwa mabwana zake kuna aliyembania?
Siro kutoa ulinzi ni kazi yake. Makeke ypote ni ya kuhalalisha kukaa kwake huko na kupata makombo. Tatizo ni kuwa kajiweka kifungoni mwenyewe. He is not a free man. And those feeding him are not happy for him to live on their taxes.Una hakika na unachokiongea au ushabiki unakusumbua? Mbinu aliyotumia kuondoka "mashetani watu" waliokuwa wamemkamia kawaachia "manyoya",hawaamini na wametahayari.Yule hakimu waliyemwongezea muda ili akamilishe "mpango mkakati" haramu kabaki na lundo la makaratasi! Kifupi "they are dumb founded"
Muulize Kamanda Ziro alivyowasihi warudi eti atawapa ulinzi baada ya njama zao kuwa kituko.
Hujawahi kuwa ktk mazingira hayo,hivyo unaweza ongea utakavyo kama shabiki wa mpira anavyoona wachezaji ?wajinga" wanapokosa kufunga goli la "wazi"Siro kutoa ulinzi ni kazi yake. Makeke ypote ni ya kuhalalisha kukaa kwake huko na kupata makombo. Tatizo ni kuwa kajiweka kifungoni mwenyewe. He is not a free man. And those feeding him are not happy for him to live on their taxes.
Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika.Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.
Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.
Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
Usidanganye, wakati huo CCM haikuwepo. Of cause kila mtu wakati huo alikuwa anataka kutetea watu wake, na mangi alikuwa huru kutaka kuifanya Kilimanjaro kuwa nhi. Mipango hiyo haikufanikiwa and that is history. Fikiria TZ ya sasa ingegawanyika tukawa na zaidi ya nchi 120. Wewe unang'ang'ania Kilimanjaro. Kilimanjaro is nothing without the rest of TZ just as Mara or Kagera is nothing without the rest of TZ. Afadhali hata Wasukuma wangekuwa na kanchi ka Wasukuma, sasa hivi wanekuwa matajiri, maana ndipo madini mengi ya TZ yanachimbwa, wewe umeng'ang'ania Mangi Mangi. Kama siasa za CHADEMA ni umangi ni kweli mmefirisika, maana TZ ina faida kwa kila kabila. Hivi Wachagga wangekuwa wanakaa wapi kama Mangi angefanikiwa. Maana mkoloni alichukuwa ardhi yote ya Kilimanjaro. Sasa hivi unamkuta mchaga sehemu yoyote ya TZ kama unavyomkuta Mkurya au Mmasai, wewe hii huoni ni faida kwa wote..unang'ang'ania mangi mangi. Think before you write or speak.Acha upuuzi wako.
Umeuweka wazi upumbavu wako leo.Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.
Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.
Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
Kwa hoyo wazungu ndiyo wajomba na shangazi zenu? Kwa nini msiondoke kabisa na kuhamia ujombani au kwa shangazi?Hata baba asipowatendea watoto haki ndani ya nyumba, watoto watakwenda kwa mjomba au shangazi kueleza namna baba anavyowatendea ili wapate suluhu
Kama wanaporwa mbona bado wapo. Ukiona hawaondoki ujuwe bado wanapata faida. Kwenye madini mlisema wataondoka na kufunga migodi. Mpaka leo wapo na wanachimba. Muwekezaji ataondoka tu, kama ataona hapati faida na mpaka leo wote wapo, kwa hiyo hakuna aliyoporwa. Waliyoondoka ni wa;le wababaishaji wenye kampuni za mkononi au waliyopewa masirika wakitegemea kuyaweka mashirika rehani ya kukopea na kuchukuwa pesa kuendeleza biashara tofauti na walizopewa. Hao ni wengi!Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Wekeza uone mfano
Una upeo mdogo, jaribu kuelewa indirect language ambayo nimeitumia, kama nchi haifuati mfumo wa sheria na katiba, basi kuna sheria za kimataifa, mikatama, pamoja na makubaliano ambayo yataibana nchi husikaKwa hoyo wazungu ndiyo wajomba na shangazi zenu? Kwa nini msiondoke kabisa na kuhamia ujombani au kwa shangazi?
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.
Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.
Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo ambalo sio. Mlishapoteza kuweni wapole na mjipange kwenda kulima ndizi huko Hai.
Jamani pendaneni,,, bishaneni kwa hoja sio kebehi na matusi sisi ni watu wa Taifa moja, mbona ustaarabu imekuwa bidhaa adimu?Jamaa walivyo na akili fupi kama pua ya mwenyekiti wao wana mawazo na tabia za kichawi.Vioja wafanye wao wakisemwa wanadai wanaonewa/wanasingiziwa.Si uchawi huo????? Kuroga wao na kulia zaidi wao!