Ndugu zetu Kenya mnachokifanya hakina faida kwa Taifa

Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.

Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.

Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.

Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu.
Peleka uoga wako huko chattle, acha watu wapambanie kesho yao
 
Kila mtu ashinde mechi zake.. Wanaoogopa yanayotokea Kenya ni CCM
Usiwahusishe CCM. Uchaguzi wa Kenya umemalizika sio zaidi ya miezi 7 mpaka sasa. Rais Ruto hajasababisha ugumu wa maisha bali ameukuta ugumu huo. Mdororo na ugumu/kupanda gharama za maisha ni adhari za Covid-19 na vita vya Urusi-Ukraine kwa nchi nyingi duniani, sio Kenya pekee.

Mnyonge anyongwe, lakini haki yake apewe.
 
Mbona Hatumuoni Rosemary Odinga mbele kama kiongozi wa waandamanaji?

Badala yake tunaona watoto wa wengine.
Wewe umeambiwa Rosemary ana njaa kama hao uliowaona? Wanaoingia barabarani ni wale waliobanwa na hali ngumu ya maisha. Ukwasi alionao huyo mama sio wa kitoto.
 
Usiwahusishe CCM. Uchaguzi wa Kenya umemalizika sio zaidi ya miezi 7 mpaka sasa. Rais Ruto hajasababisha ugumu wa maisha bali ameukuta ugumu huo. Mdororo na ugumu/kupanda gharama za maisha ni adhari za Covid-19 na vita vya Urusi-Ukraine kwa nchi nyingi duniani, sio Kenya pekee.

Mnyonge anyongwe, lakini haki yake apewe.
Hivi wewe nikukabidhi madaraka kwa kununa halafu ikulu ukae kwa amani, kibaya zaidi unaendeleza chuki hata baada ya kuwa ulishaingia ikulu.
 
Wakenya ni JIRANI zetu ni ndugu zetu tunapoona mambo yasiyo faa kama yanayo hamasishwa na chama Cha ODM lazima tuwatahadharishe.

Hatutaki kuona mambo yaliyo tokea 2017 yanajitokeza tena.
Hiyo ndio njia ambayo hutumika dunian kote kutetea haki zao.Au wewe unataka waingie msituni?
 
Njia ya kufanya fujo na kuharibu mali za watu wengine?

Njia ya kuumiza watu na kuiba mali za watu wengine?!

Anacho kifanya Raila sio sahihi, hayo sio maandamano ya maani bali anahamasisha fujo na kuharibu amani ya nchi hivyo anapaswa akemewe na ikibidi achukuliwe hatua za kisheria.
 
Ukizuia maandamano wanaingia mstuni, kulinda mali za raia ni kazi ya polisi.
 
Kinacho endelea sio maandamano bali ni uporaji wa mali za watu, uharibifu na kila aina ya uhalifu.

Tatizo Raila anahimiza vurugu, hajali kama watu watapoteza maisha ama la yeye anacho jali ni kujinufaisha kisiasa hata kama watu watapoteza uhai hajali.
 
Wanaharibu nchi Yao wenyewe.
nawashauri wananchi wa Kenya haswa vijana wasikubali kuchochewa kuharibu amani na uchumi wa nchi Yao.
 
Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.

Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.

Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.

Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu.

Demokrasia sio kufanya vurugu Wala kuiba mali za watu, tusisingizie demokrasia.
Wezi wa kura matumbo yameanza kuuma sasa.

Mwizi wa kura hafai kuwepo ofisini
 
Wanaharibu nchi Yao wenyewe.
nawashauri wananchi wa Kenya haswa vijana wasikubali kuchochewa kuharibu amani na uchumi wa nchi Yao.
Tusimame ktk ukweli
Endapo transparency ingekuwepo kuepusha rigged election results haya yasingetokea.

Wanaowachochea wananchi ni viongozi wasiowajibika na wanaoiba kura ili kuchechemiza maslahi yao na wezi wenzao.

Jambo jema kwa koiongozi anayeipenda nchi yake ni kwamba; akiona hali ipo hivi anajiuzulu kupisha democratic proccess.

Watanzania ambao wanashiriki kuiba kura na wanaoiba kura ndo wana mtazamo wa kuona wananchi wana vurugu

Katiba yao inaruhusu maandamano
 
Back
Top Bottom