Ndugu zetu Kenya mnachokifanya hakina faida kwa Taifa

Raila Odinga kaitisha tena maandamano makubwa J.tatu ya trh 27/3!!!!!

Raila anaitumbukiza Kenya kwenye Janga kubwa, anacho kifanya sio demokrasia bali fujo.

Ruto kachaguliwa kihalali lakini yeye hataki kukubali.
 
Tusimame ktk ukweli
Endapo transparency ingekuwepo kuepusha rigged election results haya yasingetokea.

Wanaowachochea wananchi ni viongozi wasiowajibika na wanaoiba kura ili kuchechemiza maslahi yao na wezi wenzao.

Jambo jema kwa koiongozi anayeipenda nchi yake ni kwamba; akiona hali ipo hivi anajiuzulu kupisha democratic proccess.

Watanzania ambao wanashiriki kuiba kura na wanaoiba kura ndo wana mtazamo wa kuona wananchi wana vurugu

Katiba yao inaruhusu maandamano
Sasa tatizo ni kupanda kwa gharama za maisha au huo unaosema ni wizi wa kura? Usanii mtupu🤣
 
Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.

Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.

Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.

Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu.

Demokrasia sio kufanya vurugu Wala kuiba mali za watu, tusisingizie demokrasia.
Hii siyo hoja na hizo sio vurugu. Acha kuongea ki - CCM - CCM hapa...!!

Hayo ni maandamano yanayokubaliwa na sheria na katiba ya Kenya kama njia ya kushinikiza serikali ifanye jambo fulani lililo haki ya wananchi!!

Hoja ni moja tu. "THE GOVERNMENT HAS TO MEET THE DEMANDS OF THE PROTESTERS" fullstop...
 
Katiba ya Kenya inaruhusu watu wavunje maduka ya watu na kupora mali za watu?!

Katiba ya Kenya inaruhusu kuchoma magari ya watu na kuharibu mali?!!!

Katiba ya Kenya inaruhusu watu kujichukulia Sheria mkononi?!!!

You cannot claim your rights with dirty hands.

Kama hayo ndio matumda ya katiba mpya basi ni Bora kurudi kwenye katiba ya zamani.
 
Katiba ya Kenya inaruhusu watu wavunje maduka ya watu na kupora mali za watu?!

Katiba ya Kenya inaruhusu kuchoma magari ya watu na kuharibu mali?!!!

Katiba ya Kenya inaruhusu watu kujichukulia Sheria mkononi?!!!

Kama hayo ndio matumda ya katiba mpya basi ni Bora kurudi kwenye katiba ya zamani.
These are the points:

1. Generally, katiba na sheria za Kenya zinaruhusu migomo na maandamano kama njia ya kupinga au kushinikiza jambo fulani dhidi ya serikali au viongozi kufanya au waache kufanya..

2. Waambieni polisi walinde waandamanaji wanapotembea ku - express concern yao kwa serikali na wazuie ubaya au uvunjivu wa sheria yoyote..

3. Na ikitokea kuna mtu au mwandamanaji anafanya uvunjivu wa sheria katikati ya maandamano ya amani, huyo achukuliwe hatua za kisheria kama muhalifu mwingine yeyote...

4. Uhalifu wa watu wahuni wachache katikati ya haki ya watu wengi haiwezi kuwa sababu ya kunyima au kuondoa haki ya watu kuandamana kuelezea hisia zao dhidi ya viongozi au serikali..!!

Je, umeelewa sasa?

Karibu................
 
Mimi nimeozungumzia kilicho onekena kwenye maandamano ya tarehe 19/3 , j.tatu iliyo pita, Tumeshuhudia uhalifu wa kuvunja maduka Nairobi na maeneo mengine.. tumeshuhudia waandamanaji wakipora mali mali za watu.

Ulikuwa uhalifu kila Kona, Raila aliongoza genge la wahalifu, hakuna hata mmoja aliye onyesha ustaarabu.

Nafahamu vyema Katiba ya Kenya inaruhusu maandamano lakini kwa kibali Cha Polisi, Raila hakupewa Kibali Cha kufanya maandamano kutokana na kutoa short notice lakini Raila akaamua kuitisha maandamano na matokeo yake tukashuhudia uhalifu mkubwa kila Kona ya kenya,
Je huo ndio uhuru wa kikatiba uvyo taka au ni uhuni?!!!
 
Sio kweli. Kama Kuna shida, hio itakuwa ni kosa la polisi kutowajibika kutenda wajibu wao wa kulinda waandamanaji kuzuia uhalifu wowote..

Kosa la polisi at first place, ilikuwa ni ku - focus zaidi kuzuia maandamano badala ya kuelekeza nguvu kuyalinda na kulinda mali za watu all the way yanapopita maandamano..

Narudia tena kusema, wahuni wachache hawawezi kuzuia haki ya wengi kuandamana na kuelezea hisia zao..
 
Polisi walitoa tamko kuwa hawakuwa wamejipanga kulinda maandamano kwa kuwa Raila alitoa short notice hivyo walimtaka apange tarehe nyingine lakini Raila alilazimisha na matokeo yake kumbe Raila na genge lake walitaka kufanya vurugu na kuvunja maduka na kuiba.

Kwanini Raila hakukubaliana na mapendekezo ya Polisi?! ni wazi alidhamiria kufanya vurugu.
 
Lazima kuna upande ulikuwa unataka kunyima haki upande mwingine kutekeleza wajibu wake..

Na hapa lazima ni polisi tu kwa sababu hii ndio mbinu ya polisi ktk nchi za dunia ya tatu zote wanayotumia kujaribu kuwalinda watawala au serikali zisizowajibika Kwa watu..

Uzuri wa Kenya ni kuwa kuna mahakama huru kabisa isiyoweza kumbeba mtawala yeyote. Nakumbuka Supreme Court ya Kenya ilishamgomea Rais aliye madarakani (by then Uhuru Kenyatta)kujaribu kubadili katiba kwa manufaa yake. Aliambiwa waziwazi na mahakama HUNA MAMLAKA HAYO...

Kwa hiyo, kama polisi wanadhani walikuwa sawa, wampeleke Railla Odinga na wafuasi wake walioandamana mahakamani tuone nani mwenye makosa..
 
Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.

Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.

Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.

Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu ama achukuliwe hatua kwa kuhamasisha maandamano ya vurugu.

Demokrasia sio kufanya vurugu Wala kuiba mali za watu, tusisingizie demokrasia.

Kinacho endelea na tulicho kishuhudia kwenye maandamano ni uhalifu mtupu!!!
Kwa nini uwasemee na kuwapandikiza woga.?
 
Kinacho fanywa na Raila na wafuasi wake ni vurugu na uporaji wa mali.
sio maandamano ya amani.
 
Maandano yalianza Tena J.tatu tarehe 1 mei 2023.

Kinacho fanywa na waandamanaji ni vurugu, wanaharibu mali za raia na hivyo kuharibu uchumi wa nchi Yao.

Ndugu zetu tunawaomba mfikirie njia nyingine ya kutatua changamoto zinazo wakabili kuliko njia hii ya maandamano.
 
Back
Top Bottom