Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tatizo ni kupanda kwa gharama za maisha au huo unaosema ni wizi wa kura? Usanii mtupu🤣Tusimame ktk ukweli
Endapo transparency ingekuwepo kuepusha rigged election results haya yasingetokea.
Wanaowachochea wananchi ni viongozi wasiowajibika na wanaoiba kura ili kuchechemiza maslahi yao na wezi wenzao.
Jambo jema kwa koiongozi anayeipenda nchi yake ni kwamba; akiona hali ipo hivi anajiuzulu kupisha democratic proccess.
Watanzania ambao wanashiriki kuiba kura na wanaoiba kura ndo wana mtazamo wa kuona wananchi wana vurugu
Katiba yao inaruhusu maandamano
Yani ipo hivo yaaniSasa tatizo ni kupanda kwa gharama za maisha au huo unaosema ni wizi wa kura? Usanii mtupu🤣
Ameshawahi na ameshatamani na akafanya,ila WATANZANIA wana akili kuliko mbowekiongozi wa upinzani Tanzania Mh. Mbowe hawezi kuhamasisha maandamano ya vurugu
Hii siyo hoja na hizo sio vurugu. Acha kuongea ki - CCM - CCM hapa...!!Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.
Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.
Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.
Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu.
Demokrasia sio kufanya vurugu Wala kuiba mali za watu, tusisingizie demokrasia.
Katiba ya Kenya inaruhusu watu wavunje maduka ya watu na kupora mali za watu?!Hii siyo hoja na hizo sio vurugu. Acha kuongea ki - CCM - CCM hapa...!!
Hayo ni maandamano yanayokubaliwa na sheria na katiba ya Kenya kama njia ya kushinikiza serikali ifanye jambo fulani lililo haki ya wananchi!!
Hoja ni moja tu. "THE GOVERNMENT HAS TO MEET THE DEMANDS OF THE PROTESTERS" fullstop...
These are the points:Katiba ya Kenya inaruhusu watu wavunje maduka ya watu na kupora mali za watu?!
Katiba ya Kenya inaruhusu kuchoma magari ya watu na kuharibu mali?!!!
Katiba ya Kenya inaruhusu watu kujichukulia Sheria mkononi?!!!
Kama hayo ndio matumda ya katiba mpya basi ni Bora kurudi kwenye katiba ya zamani.
Mimi nimeozungumzia kilicho onekena kwenye maandamano ya tarehe 19/3 , j.tatu iliyo pita, Tumeshuhudia uhalifu wa kuvunja maduka Nairobi na maeneo mengine.. tumeshuhudia waandamanaji wakipora mali mali za watu.These are the points:
1. Generally, katiba na sheria za Kenya zinaruhusu migomo na maandamano kama njia ya kupinga au kushinikiza jambo fulani dhidi ya serikali au viongozi kufanya au waache kufanya..
2. Waambieni polisi walinde waandamanaji wanapotembea ku - express concern yao kwa serikali na wazuie ubaya au uvunjivu wa sheria yoyote..
3. Na ikitokea kuna mtu au mwandamanaji anafanya uvunjivu wa sheria katikati ya maandamano ya amani, huyo achukuliwe hatua za kisheria kama muhalifu mwingine yeyote...
4. Uhalifu wa watu wahuni wachache katikati ya haki ya watu wengi haiwezi kuwa sababu ya kunyima au kuondoa haki ya watu kuandamana kuelezea hisia zao dhidi ya viongozi au serikali..!!
Je, umeelewa sasa?
Karibu................
Sio kweli. Kama Kuna shida, hio itakuwa ni kosa la polisi kutowajibika kutenda wajibu wao wa kulinda waandamanaji kuzuia uhalifu wowote..Mimi nimeozungumzia kilicho onekena kwenye maandamano ya tarehe 19/3 , j.tatu iliyo pita, Tumeshuhudia uhalifu wa kuvunja maduka Nairobi na maeneo mengine.. tumeshuhudia waandamanaji wakipora mali mali za watu.
Ulikuwa uhalifu kila Kona, Raila aliongoza genge la wahalifu, hakuna hata mmoja aliye onyesha ustaarabu.
Nafahamu vyema Katiba ya Kenya inaruhusu maandamano lakini kwa kibali Cha Polisi, Raila hakupewa Kibali Cha kufanya maandamano kutokana na kutoa short notice lakini Raila akaamua kuitisha maandamano na matokeo yake tukashuhudia uhalifu mkubwa kila Kona ya kenya,
Je huo ndio uhuru wa kikatiba uvyo taka au ni uhuni?!!!
Polisi walitoa tamko kuwa hawakuwa wamejipanga kulinda maandamano kwa kuwa Raila alitoa short notice hivyo walimtaka apange tarehe nyingine lakini Raila alilazimisha na matokeo yake kumbe Raila na genge lake walitaka kufanya vurugu na kuvunja maduka na kuiba.Sio kweli. Kama Kuna shida, hio itakuwa ni kosa la polisi kutowajibika kutenda wajibu wao wa kulinda waandamanaji kuzuia uhalifu wowote..
Kosa la polisi at first place, ilikuwa ni ku - focus zaidi kuzuia maandamano badala ya kuelekeza nguvu kuyalinda na kulinda mali za watu all the way yanapopita maandamano..
Narudia tena kusema, wahuni wachache hawawezi kuzuia haki ya wengi kuandamana na kuelezea hisia zao..
Lazima kuna upande ulikuwa unataka kunyima haki upande mwingine kutekeleza wajibu wake..Polisi walitoa tamko kuwa hawakuwa wamejipanga kulinda maandamano kwa kuwa Raila alitoa short notice hivyo walimtaka apange tarehe nyingine lakini Raila alilazimisha na matokeo yake kumbe Raila na genge lake walitaka kufanya vurugu na kuvunja maduka na kuiba.
Kwanini Raila hakukubaliana na mapendekezo ya Polisi?! ni wazi alidhamiria kufanya vurugu.
Kwa nini uwasemee na kuwapandikiza woga.?Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.
Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.
Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.
Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu ama achukuliwe hatua kwa kuhamasisha maandamano ya vurugu.
Demokrasia sio kufanya vurugu Wala kuiba mali za watu, tusisingizie demokrasia.
Kinacho endelea na tulicho kishuhudia kwenye maandamano ni uhalifu mtupu!!!