dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Peleka uoga wako huko chattle, acha watu wapambanie kesho yaoMqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.
Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.
Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.
Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu.
Usiwahusishe CCM. Uchaguzi wa Kenya umemalizika sio zaidi ya miezi 7 mpaka sasa. Rais Ruto hajasababisha ugumu wa maisha bali ameukuta ugumu huo. Mdororo na ugumu/kupanda gharama za maisha ni adhari za Covid-19 na vita vya Urusi-Ukraine kwa nchi nyingi duniani, sio Kenya pekee.Kila mtu ashinde mechi zake.. Wanaoogopa yanayotokea Kenya ni CCM
Wanajitambua. Wewe kaa na Utanganyika ulio fubaa kwa wogaWakenya ni wadudu wa unga,ugali ukipanda bei tuh ni shida nafikiri mrungi umewaharibu
Wewe umeambiwa Rosemary ana njaa kama hao uliowaona? Wanaoingia barabarani ni wale waliobanwa na hali ngumu ya maisha. Ukwasi alionao huyo mama sio wa kitoto.Mbona Hatumuoni Rosemary Odinga mbele kama kiongozi wa waandamanaji?
Badala yake tunaona watoto wa wengine.
Watanganyika hawana tofauti na Kondoo. Wanaswagwa na Wanasiasa kama loteHao ni wajinga kuliko wote East Africa
Wakenya ni JIRANI zetu ni ndugu zetu tunapoona mambo yasiyo faa kama yanayo hamasishwa na chama Cha ODM lazima tuwatahadharishe.Ushauri kawape ndugu zako wa Lumumba mambo ya Kenya yanakuhusu nini
Hivi wewe nikukabidhi madaraka kwa kununa halafu ikulu ukae kwa amani, kibaya zaidi unaendeleza chuki hata baada ya kuwa ulishaingia ikulu.Usiwahusishe CCM. Uchaguzi wa Kenya umemalizika sio zaidi ya miezi 7 mpaka sasa. Rais Ruto hajasababisha ugumu wa maisha bali ameukuta ugumu huo. Mdororo na ugumu/kupanda gharama za maisha ni adhari za Covid-19 na vita vya Urusi-Ukraine kwa nchi nyingi duniani, sio Kenya pekee.
Mnyonge anyongwe, lakini haki yake apewe.
Kujielewa kwa kufanya vurugu kutokana na sababu dhaifu wanazotoa au?Ukweli ni kuwa kenya wanajielewa hakuna nchi east africa wanajielewa kuliko hawa jamaa
Hiyo ndio njia ambayo hutumika dunian kote kutetea haki zao.Au wewe unataka waingie msituni?Wakenya ni JIRANI zetu ni ndugu zetu tunapoona mambo yasiyo faa kama yanayo hamasishwa na chama Cha ODM lazima tuwatahadharishe.
Hatutaki kuona mambo yaliyo tokea 2017 yanajitokeza tena.
Njia ya kufanya fujo na kuharibu mali za watu wengine?Hiyo ndio njia ambayo hutumika dunian kote kutetea haki zao.Au wewe unataka waingie msituni?
Ukizuia maandamano wanaingia mstuni, kulinda mali za raia ni kazi ya polisi.Njia ya kufanya fujo na kuharibu mali za watu wengine?
Njia ya kuumiza watu na kuiba mali za watu wengine?!
Anacho kifanya Raila sio sahihi, hayo sio maandamano ya maani bali anahamasisha fujo na kuharibu amani ya nchi hivyo anapaswa akemewe na ikibidi achukuliwe hatua za kisheria.
Kinacho endelea sio maandamano bali ni uporaji wa mali za watu, uharibifu na kila aina ya uhalifu.Ukizuia maandamano wanaingia mstuni, kulinda mali za raia ni kazi ya polisi.
Wezi wa kura matumbo yameanza kuuma sasa.Mqjiranni zetu wa Kenya kupitia kiongozi wa ODM kuitisha maandamano ya sio na Kikomo kila J. Tatu sio sahihi na Wala haito wasaidia zaidi ya kuteteresha usalama wa nchi na kuporomoa uchumi wenu.
Ni kweli maisha ni magumu lakini Ruto haja sababisha ugumu huo, sasa wanasiasa wa ODM wanataka kutumia fursa hiyo kuteteresha Serikali ya wananchi nadhani hiyo sio sawa.
Vurugu za Leo tu zimesababisha hasara kubwa ya uchumi wa Taifa, hii ni hatari zaidi.
Kiongozi wa ODM ndugu Raila anapaswa awe mzalendo kwa Taifa, akamewe kuhamasisha vurugu.
Demokrasia sio kufanya vurugu Wala kuiba mali za watu, tusisingizie demokrasia.
Tusimame ktk ukweliWanaharibu nchi Yao wenyewe.
nawashauri wananchi wa Kenya haswa vijana wasikubali kuchochewa kuharibu amani na uchumi wa nchi Yao.
Ungenyamaza tu.Kujielewa ni kuiba mali za watu?
Kujielewa ni kuchoma nyumba na magari ya watu?
kujielewa ni kuvuruga usalama wa Taifa lao?
Huko sio kujielewa bali ni ujasiri wa kijinga.