Ndugu zetu mliohamia USA(Marekani) Trump anawasalimia

Ndugu zetu mliohamia USA(Marekani) Trump anawasalimia

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Sasa wazee 🤣Trump sijui alidokeza sijui atawapa zawadi gani vile??

Kuna baadhi ya hao (African USA) walidiriki kuyatukana mataifa yetu ya africa sasa🤔🤣Trump atawapa zawadi yenu muda si mrefu(mshakatiwa ticket ya kurudi mlikokutusi)

Nawasilisha.
 
Trump anadili na wahamiaji haramu sio walioamia kihalali. Hata Tanzania inawahukumu vizuri wasomali,waethiopia na yeyote anayeingia bongoland bila utaratibu.
Huyu mtoa post ni mtu anayejichukia ,amejawa na wivu na hapendi maisha yake, watu kama hawa hupenda kuona watu wengine wapate shida ndio furaha yao,sasa wewe kwa mfano hao wahamiaji haramu wakirudishwa utafaidika na nini?
 
Hizi ndiyo zile roho za kimaskini huwezi kuzisikia popote ila Tanzania.

Kulikoni kushangilia madhila ya mwingine asiyekuathiri Kwa lolote?

Kulikoni kukerwa na mafanikio au jitihada za mtu kujitafutia mafanikio yake popote?

Looh!
 
Sasa wazee 🤣Trump sijui alidokeza sijui atawapa zawadi gani vile??

Kuna baadhi ya hao (African USA) walidiriki kuyatukana mataifa yetu ya africa sasa🤔🤣Trump atawapa zawadi yenu muda si mrefu(mshakatiwa ticket ya kurudi mlikokutusi)

Nawasilisha.
Kuna watu wanapenda ukilaza kuliko ulaza unavyowapenda
 
Sasa wazee 🤣Trump sijui alidokeza sijui atawapa zawadi gani vile??

Kuna baadhi ya hao (African USA) walidiriki kuyatukana mataifa yetu ya africa sasa🤔🤣Trump atawapa zawadi yenu muda si mrefu(mshakatiwa ticket ya kurudi mlikokutusi)

Nawasilisha.
Kwani ujumbe huu unamwendea nani?
 
Hope utachukua muda kujielemisha kidogo kuliko kujidhalilisha namna hii na ukubwa wako!
Huwa napenda kuunga kujifunza kwa waliofanikiwa
Huyu mtoa post ni mtu anayejichukia ,amejawa na wivu na hapendi maisha yake, watu kama hawa hupenda kuona watu wengine wapate shida ndio furaha yao,sasa wewe kwa mfano hao wahamiaji haramu wakirudishwa utafaidika na nini?
Sina hate/chuki Ila swala ni wao kutukana Mataifa yao ambapo vitovu vyao vimezikwa
 
Trump anadili na wahamiaji haramu sio walioamia kihalali. Hata Tanzania inawahukumu vizuri wasomali,waethiopia na yeyote anayeingia bongoland bila utaratibu.

Kiongozi mueleweshe huyu kijana kwa kuwa kakiri anajifunza sio mbaya kumfahamisha ili arekebishe ufahamu wake na kama ni chuki ajue itamuua na Trump hana huo mpango anaofikiria yeye!
 
Chuki unayo wewe hater

Mkuu miye siyo hater, ni hate nini Sasa?

Zingatia miye nimekazia tu kutokea kwenye post #10 na dadavuzi ya wazi tokea kwenye andiko lako lililosheni vichekeleo.

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
Huwa napenda kuunga kujifunza kwa waliofanikiwa

Sina hate/chuki Ila swala ni wao kutukana Mataifa yao ambapo vitovu vyao vimezikwa

Kutukana ni subjective, unaweza kudefine unamaanisha nini? tena ni emotion/hisia! Yani mtu ajenge nyumba mpya akisema hakuipenda ya zamani kakosea? Au kapata kazi ya mshahara mkubwa akiitamkia aliyoacha negatively basi ishakuwa offence? Tumefikia hatua tunataka hata hisia/feelings za watu tuzicontrol? We ulipomaliza la saba hukutupa shati lako na kusema negatively?

Cha msingi hapa watu wapo US legally na Trump hana time nao, anafocus kwa illegal immigrants, unaweza kugoogle maana yake kama huelewi ili upunguze hizi aibu ndogondogo kama hizi hapa. Kumchukia mtu aliyesonga hakukusogezi mbele ila kunaharibu tu hormone zako na kuteketeza mwili wako
 
Sasa we mbumbumbu unafurahia watafutaji kurudishwa bara la Giza Ili muuendeleze umasikini maana mtu mweusi ni masikini mpaka bara lake
Mimi sio maskini mzee

Ungenambia wanaoenda China ndo wanarudi na fursa ungekua umeleta hoja yenye mashiko wewe mtu gani alienda USA wakarudi na impact na kwa weusi wenzake(hao Aslimia kubwa wakienda ni selfish they can't show you were the channel of success is

Lakini watu wanaenda China, Dubai wanarudi na impact vijana wanapata kazi za temporary na za kudumu.
 
Back
Top Bottom