Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kapigwa na maisha ya umasikini mpaka kachanganyikiwa Kila mtu anamuona adui yake yaani kama ndio kamsababishia umasikiniUjinga bado ni janga la taifa. Haya malalamiko apeleke kwao sio kwa watu waliopambana kivyao afu wewe utegemee wakupe tu.