hahaha maana ya kusonga ni nini? Sijaongelea mafanikio mimi, kila mtu ana definition yake ya kufanikiwa kama ulivosema wewe una afya, nobody cares!
Unaonekana una makasiriko kiongozi, vuta deep breath usijapasuka! Hii dunia ina mambo mengi sana ya kufanya, mwenzio akienda kwa Trump we nenda kaliua, zote ni uhamaji, mwenzio akifukuzwa na Trump kama unavotaka we fanya mengine kama kulinda afya yako nk, acha afanye yake na ale huo msiba na wa kwao, we fanya yanayokupa furaha. Ukifuatilia ya watu utateseka sana mzee!