Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
We ni masikini na unanjaa sana sababu masikini ndio mnafurahia wenzenu kufeli hamna tajiri aanaechekelea watafutaji kufeli kama hivi mbele ya watuMimi sio maskini mzee
Ungenambia wanaoenda China ndo wanarudi na fursa ungekua umeleta hoja yenye mashiko wewe mtu gani alienda USA wakarudi na impact na kwa weusi wenzake(hao Aslimia kubwa wakienda ni selfish they can't show you were the channel of success is
Lakini watu wanaenda China, Dubai wanarudi na impact vijana wanapata kazi za temporary na za kudumu.
Mimi sio maskini mzeeSasa we mbumbumbu unafurahia watafutaji kurudishwa bara la Giza Ili muuendeleze umasikini maana mtu mweusi ni masikini mpaka bara lake
Mkuu miye siyo hater, ni hate nini Sasa?
Zingatia miye nimekazia tu kutokea kwenye post #10 na dadavuzi ya wazi tokea kwenye andiko lako lililosheni vichekeleo.
Ni hayo tu ndugu mjumbe.
Ni opinion zako tu mkuu "ukisoma lugha ya Sanaa wala huwezi kupanick"Mkuu miye siyo hater, ni hate nini Sasa?
Zingatia miye nimekazia tu kutokea kwenye post #10 na dadavuzi ya wazi tokea kwenye andiko lako lililosheni vichekeleo.
Ni hayo tu ndugu mjumbe.
Naunga mkono hojaDuh aiseee
I didn't know kumbe kwenda nje ya nchi ni kusonga naangalia maana ya kusonga(but kufanikiwa ni neno pama tuzungumzie pesa)Kutukana ni subjective, unaweza kudefine unamaanisha nini? tena ni emotion/hisia! Yani mtu ajenge nyumba mpya akisema hakuipenda ya zamani kakosea? Au kapata kazi ya mshahara mkubwa akiitamkia aliyoacha negatively basi ishakuwa offence? Tumefikia hatua tunataka hata hisia/feelings za watu tuzicontrol? We ulipomaliza la saba hukutupa shati lako na kusema negatively?
Cha msingi hapa watu wapo US legally na Trump hana time nao, anafocus kwa illegal immigrants, unaweza kugoogle maana yake kama huelewi ili upunguze hizi aibu ndogondogo kama hizi hapa. Kumchukia mtu aliyesonga hakukusogezi mbele ila kunaharibu tu hormone zako na kuteketeza mwili wako
Nakubali mm ni maskini wa materials thingsWe ni masikini na unanjaa sana sababu masikini ndio mnafurahia wenzenu kufeli hamna tajiri aanaechekelea watafutaji kufeli kama hivi mbele ya watu
Sasa mbona unashobokea mambo yasiyo kuhusu kumbe we mafanikio Yako ni afya Sasa lala ndani usitafute pesa Ili ule hiyo afyaI didn't know kumbe kwenda nje ya nchi ni kusonga naangalia maana ya kusonga(but kufanikiwa ni neno pama tuzungumzie pesa)
Nakubali mm ni maskini wa materials things
"Kuna vitu vipo fresh tu Mungu kanijalia" afya njema" 9 years
Bila kulaZwa hospital wala Kuugua hii kwangu ndiyo definition ya utajiri/mafanikio"
š¤£Unapanick brazaSasa mbona unashobokea mambo yasiyo kuhusu kumbe we mafanikio Yako ni afya Sasa lala ndani usitafute pesa Ili ule hiyo afya
Lala ndani usitafute pesa utajiri wako si umeshasema afya subiri ule hiyo afya maana wewe peke yako ndio tajiri wa afyaš¤£Unapanick braza
Sitafuti Mkuu nipo nimelalaLala ndani usitafute pesa utajiri wako si umeshasema afya subiri ule hiyo afya maana wewe peke yako ndio tajiri wa afya
I didn't know kumbe kwenda nje ya nchi ni kusonga naangalia maana ya kusonga(but kufanikiwa ni neno pama tuzungumzie pesa)
Nakubali mm ni maskini wa materials things
"Kuna vitu vipo fresh tu Mungu kanijalia" afya njema" 9 years
Bila kulaZwa hospital wala Kuugua hii kwangu ndiyo definition ya utajiri/mafanikio"
š¤£Uchokozi tu mkuu kaliuwa na majirani zanguhahaha maana ya kusonga ni nini? Sijaongelea mafanikio mimi, kila mtu ana definition yake ya kufanikiwa kama ulivosema wewe una afya, nobody cares!
Unaonekana una makasiriko kiongozi, vuta deep breath usijapasuka! Hii dunia ina mambo mengi sana ya kufanya, mwenzio akienda kwa Trump we nenda kaliua, zote ni uhamaji, mwenzio akifukuzwa na Trump kama unavotaka we fanya mengine kama kulinda afya yako nk, acha afanye yake na ale huo msiba na wa kwao, we fanya yanayokupa furaha. Ukifuatilia ya watu utateseka sana mzee!
aMleta mada kafurahia vitisho vya Trump !!!
Mwafrika anafarijika kuona Mwafrika mwenzake anataabika au mzungu anamnyanyasa au anatushia kumnyanyasa.
Trump atapita tu kama waliopita wenzake, Marekani ni nchi ya wahamiaji kama yeye na Babu zake walivyo toka Ulaya.
Mimi sio maskini mzee
Ungenambia wanaoenda China ndo wanarudi na fursa ungekua umeleta hoja yenye mashiko wewe mtu gani alienda USA wakarudi na impact na kwa weusi wenzake(hao Aslimia kubwa wakienda ni selfish they can't show you were the channel of success is
Lakini watu wanaenda China, Dubai wanarudi na impact vijana wanapata kazi za temporary na za kudumu.
Nimemshangaa sana huyu jamaa yaani watu wapambane yeye akae asubiri kutafuniwaWao ni baba wa taifa au baba yako wakuletee wewe fursa? Uliwapa nauli ya kwenda huko?
Nimemshangaa sana huyu jamaa yaani watu wapambane yeye akae asubiri kutafuniwa