Ndugu zetu mliohamia USA(Marekani) Trump anawasalimia

Kwa hiyo wewe ulikuwa unaumia sana sisi kuishi Marekani ?
 
Kwani ni lazima kila mtu anaye enda ughaibuni arudi na impact?

Kwani ulidhani kila anaye enda ughaibuni ni lazima aje akupe fursa wewe?
 

Mkuu unajua maana ya wahamiaji haramu?
 
Hapo hujaambiwa ukasome kitabu, kusikiliza tu na kuelewa umeshindwa.
 
Wewe ni masikini kabisa. Hakuna tajiri mjinga kwa kiasi chako.
 
Bado tunguli tu utakuwa umekamilika
 

Haitabadilisha wewe kuendelea kula vumbi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…