Ndugu zetu TANESCO, tatizo nini tena?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi.

Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko matumizi yetu watanzania.

Sasa haya ya kukatikakatika kwa umeme yanatokana na nini? Kama ni mgawo tena, tupeni taarifa na ratiba yake tujipange.
 
Eneo la viwandani vingunguti hakuna umeme toka saa 2 asubuhi na hatujui tatizo nini na utarudi saa ngapi!
 
Mkuu taarifa za politicians you must take with a pich of salt,ni matamshi ya grand stand mbele ya wapumbavu wao
 
Labda transfer lines zitakuwa zimezidiwa load baada ya Tanesco kuzalisha umeme wa ziada. Tuwe wavulimivu kidogo😅😅😅
 
Niliwahi kuandika; Tanzania hata mitanbo yote ya bwawa la Nyerere, mabwawa yote ya zamani, IPTL, Kinyerezi moja mpaka 4 ifanye kazi, tatizo la kukatika umeme hovyo-hovyo halitakwisha, sababu kubwa ni kuwa tu wajinga.

Ikiwa tumeshindwa kuendesha kwa ufanisi kishirika kidogo cha mabasi ya mjini tu, tutaweza kuendesha shirika kubwa kama TANESCO?

Hatuwezi, kwa ujinga wetu tu.
 
Ila ipo hope kama tuwa wajinga,kama ni wapumbavu basi hili ni tatizo kubwa kama cancer level 4,.....tunakufa
 
Hao wanataka kumuumbua waziri mkuu aliyesema wanazalisha umeme mpaka hauna kazi!
 
 
Watanzania tu wavivu sana wa kutafuta habari,
Hili swala lilisemwa mapema sanaa
 
Ila ipo hope kama tuwa wajinga,kama ni wapumbavu basi hili ni tatizo kubwa kama cancer level 4,.....tunakufa
Tufe mara ngapi?

Sasa hivi tungoje vizazi vipya ambavyo havijazaliwa ndiyo vije kurekebisha mambo.
 
Mmmmmh...... Ni chuki tu mnayo kwa serikali. Hamna lolote. Mbona inafanya vizuri tu
 
Tatizo la Tanzania ni kila mmoja kashika makali hakuna aliyeshika mpini. Tunalindana, ukivuta unamkata na yeye akivuta anakukata.

Ukifanyika uchunguzi wa kweli, wala hauhitaji kuwa wa kina, na ulio huru hakuna ataebaki katika kazi yake anayofanya, kuanzia mfagizi wa ofisi mpaka mkurugenzi wa idara.

Tu wajinga sana.
 
TANESCO watadai MABORESHO HAYAISHI!
Tatizo unakatika bila taarifa! Wanakosa mapato ya LUKU, wafanya biashara wanohitaji umeme shida! Imagine umezaliwa umeme unakatika, siajabu mpaka ufe bado watakata kata kama WEHU!
Hili shirika lilitakiwa kuwa la kwanza KUBINAIFSHWA...Fukuza wazembe wote weka watu wanaojielewa..
 
Heshima yako bi mkubwa.!
 
Sema nini, we binti ni mrembo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…