Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga wa maccm.ujinga wetu tu.
Mkuu umeanza lini kuiamini CCM?Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi.
Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko matumizi yetu watanzania.
Sasa haya ya kukatikakatika kwa umeme yanatokana na nini? Kama ni mgawo tena, tupeni taarifa na ratiba yake tujipange.
Ila we Faiza nakwambia hakyanani siku nkikupata utaimba hallelujah.. sintojali uzee wako nakwambiaHilo la urembo lisikustuwe.
Hakuna nwanamke asiye mrembo duniani, hata mama'ko ni mrembo.
Umetumwa na Waziri gani kumchafua Mama?Niliwahi kuandika; Tanzania hata mitanbo yote ya bwawa la Nyerere, mabwawa yote ya zamani, IPTL, Kinyerezi moja mpaka 4 ifanye kazi, tatizo la kukatika umeme hovyo-hovyo halitakwisha, sababu kubwa ni kuwa tu wajinga.
Ikiwa tumeshindwa kuendesha kwa ufanisi kishirika kidogo cha mabasi ya mjini tu, tutaweza kuendesha shirika kubwa kama TANESCO?
Hatuwezi, kwa ujinga wetu tu.
To be honest… tanesco inatuangushaNiliwahi kuandika; Tanzania hata mitanbo yote ya bwawa la Nyerere, mabwawa yote ya zamani, IPTL, Kinyerezi moja mpaka 4 ifanye kazi, tatizo la kukatika umeme hovyo-hovyo halitakwisha, sababu kubwa ni kuwa tu wajinga.
Ikiwa tumeshindwa kuendesha kwa ufanisi kishirika kidogo cha mabasi ya mjini tu, tutaweza kuendesha shirika kubwa kama TANESCO?
Hatuwezi, kwa ujinga wetu tu.