Ndugu zetu TANESCO, tatizo nini tena?

Hilo la urembo lisikustuwe.

Hakuna nwanamke asiye mrembo duniani, hata mama'ko ni mrembo.
 
Nimewapigia jana wakasema issue ya mvua sijui miundombinu imezingua, leo nakuta wamepost taarifa wala haiusiani na miundombinu. Customer Support alikua hajui anachosema.
 
Hapa navyo ongea ni toka jana jioni hadi saiv ni bila bila
 
Mkuu umeanza lini kuiamini CCM?
 
Hilo la urembo lisikustuwe.

Hakuna nwanamke asiye mrembo duniani, hata mama'ko ni mrembo.
Ila we Faiza nakwambia hakyanani siku nkikupata utaimba hallelujah.. sintojali uzee wako nakwambia
 
Umetumwa na Waziri gani kumchafua Mama?
 
To be honest… tanesco inatuangusha
 
Natafakari kauli ya professor Lumumba wa Kenya "In Africa we elect fools to the office " ni matunda ya kazi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…