Mmeharibu wenyewe msingeandamana labda angemleta kweliPaul Makonda ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Michezo nchini na Mbunge wa Arusha Mjini alitoa ahadi ambayo kwa kweli ilikuwa ni ya ajabu sana.
Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge na kuzungumza na wafanyabiashara aliahidi kuwa katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya (2026) angemleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Sasa mkesha ulikuwa jana kuamkia leo, ndugu zatu wa Arusha tupeni updates Arnold Schwarzenegger ameshaonekana huko?
Pesa za kumleta Shoziniga walizila nyamaPaul Makonda ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Michezo nchini na Mbunge wa Arusha Mjini alitoa ahadi ambayo kwa kweli ilikuwa ni ya ajabu sana.
Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge na kuzungumza na wafanyabiashara aliahidi kuwa katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya (2026) angemleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Sasa mkesha ulikuwa jana kuamkia leo, ndugu zatu wa Arusha tupeni updates Arnold Schwarzenegger ameshaonekana huko?
Huyo tapeli aliahidi kupeleka wanafunzi 1,000 India, akaendesha hadi usaili kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, na hakuna mwanafunzi yoyote ameenda hata nyumbani kwa balozi wa India. Yaani anafanya utapeli wa kitoto mno.Mmeharibu wenyewe msingeandamana labda angemleta kweli
Alipokuwa anawaambia mlimpa condition kwamba mkichoma nchi je! Bado atamleta?Kwa hiyo shida ni kuandamana? Si mlisema hali ni shwari na Watalii wanamiminika?
Kuna siku Gwajima alisema jamaa ni zero brainPaul Makonda ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Michezo nchini na Mbunge wa Arusha Mjini alitoa ahadi ambayo kwa kweli ilikuwa ni ya ajabu sana.
Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge na kuzungumza na wafanyabiashara aliahidi kuwa katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya (2026) angemleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jijini Arusha.
Sasa mkesha ulikuwa jana kuamkia leo, ndugu zetu wa Arusha tupeni updates, Arnold Schwarzenegger ameshaonekana huko?
Pia soma: GE2025 - Makonda: Nikishinda Ubunge nitamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha
hasahasa wasingida ndo wengi hapo town.Wengi wa arusha wapo kiwanja , waliobaki ni wangese wa hapo singida ,karatu na babati tu
Alikuja kaondoka juziPaul Makonda ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Michezo nchini na Mbunge wa Arusha Mjini alitoa ahadi ambayo kwa kweli ilikuwa ni ya ajabu sana.