Ndugu zetu waislamu Eid El Fitr itakuwa siku gani?

Ndugu zetu waislamu Eid El Fitr itakuwa siku gani?

Wanasubiri mwezi uonekane maka...usipoonekana wataendelea kufunga kwani shida nini?

#MaendeleoHayanaChama
 
kwanini mkitaja Waislam lazima mtaje taje Bakwata ?

hakuna mahusiano ya kidini wala ya kisheria kati ya Waislam na Bakwata
Ansar Al-sunna Jumatatu

Bakwata - Jumanne

Jiandae na Mpunga wa siku mbili.
 
ingekuwa enzi za Mzee Ally Hassan Mwinyi tungelipia sikukuu zote zinazoangukia weekend tulizi forward j3

Mzee hakuwa anataka shida …wasabato walilalamika kidogo kufanya kazi siku ya sabato akafuta kabisa isiwe half day ikawa siku nzima mapumziko kwa watumishi wa Umma
Fanyeni iwe j3 maana tukitoka job/chuo/shule ijumaa ni hadi j5[emoji1279][emoji1279]
 
ingekuwa enzi za Mzee Ally Hassan Mwinyi tungelipia sikukuu zote zinazoangukia weekend tulizi forward j3

Mzee hakuwa anataka shida …wasabato walilalamika kidogo kufanya kazi siku ya sabato akafuta kabisa isiwe half day ikawa siku nzima mapumziko kwa watumishi wa Umma
[emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Pasaka ulituchunia ulifikiri na sisi Idd haitafika? Tulikuambia tualike tutakuja na hotpot jioni tutakula pilau yetu ukasema hautualiki eti tumefunga. Sasa zamu yetu utaisikia tu harufu ya pilau
Uislam hautuelekezi hivyo, tupe uelekeo tafadhali.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom