Ndugu zetu waislamu Eid El Fitr itakuwa siku gani?

Ndugu zetu waislamu Eid El Fitr itakuwa siku gani?

Naombeni mnijuze maana hapa kuna mkanganyiko! Uzi tayari
Sikukuu ya Eid El Fitr ni Jumanne, ila kama Kawaida kuna Wapuuzi na Wavivu wanahangaika na Kujitahidi kuilazimisha iwe ni Jumatatu ili kuanzia Jumamosi ya Wikiendi hii mpaka Jumanne ijayo ziwe ni Siku za Kupumzika na kula Bata tupu.
 
iliundwa kwa sheria ipi?

ili chombo kitambuliwe rasmi na kisheria huundwa kwa sheria…taja sheria ipi inayotumika kuitambulisha kiserikali hadi taasisi zingine zisitambulike?

Bakwata kuitwa Baraza kuu la Waislam Tanzania ni sawa na UWT kuitwa Umoja wa Wanawake Tanzania wakati ni kikundi cha wanawake wa CCM pekee

So BAKWATA sio Baraza la Waislam?
 
Kazi na bata
Sikukuu ya Eid El Fitr ni Jumanne, ila kama Kawaida kuna Wapuuzi na Wavivu wanahangaika na Kujitahidi kuilazimisha iwe ni Jumatatu ili kuanzia Jumamosi ya Wikiendi hii mpaka Jumanne ijayo ziwe ni Siku za Kupumzika na kula Bata tupu.
 
ingekuwa enzi za Mzee Ally Hassan Mwinyi tungelipia sikukuu zote zinazoangukia weekend tulizi forward j3

Mzee hakuwa anataka shida …wasabato walilalamika kidogo kufanya kazi siku ya sabato akafuta kabisa isiwe half day ikawa siku nzima mapumziko kwa watumishi wa Umma
Wafute na ijumaa tupumzike siku 3
 
Back
Top Bottom