Ndugu zetu 'Wanajeshi' si tulishakubaliana kuwa hii tabia ya 'Kuua' Wake zenu kwa 'Wivu' wa Kimapenzi isijirudie tena?

Mara nyingi ugomvi wao mkubwa hao ni sababu za madem/wake

Ova
Na Wake zao 'Wanagongeka' mno na Raia wa kawaida hasa hasa tarehe hizi za 9 hadi 20 na kidogo tarehe 27 hadi 29.
 
Siku nyingi
 
Nilishaachika sina mume, halafu sijawahi kuwa na mume Askari.
Nijitathmini kwa lipi? Ulishawahi kunimega?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kelele ya nne ya nne kwa KUMEGWA AKE weweweweweeee😂😂😂
 
Mimi nilijua kwakuwa hawa Ndugu zetu ( Wajeda ) wamefundishwa sana Uvumilivu hivyo hata wakigundua 'Wanabanduliwa' Wake zao au Wapenzi wao basi wala 'hawatahamaki' na badala yake watakuwa tu Wapole na watawasamehe kisha Maisha yaendelee.
Hata komando ana bandama, , ni rahisi kuvumilia maumivu ya risasi kwa sababu "soldier born to kill, born to die" ila mapenzi kidogo kuna changamoto japo wapo wenye uvumilivu katika angle zote.
 
Halafu kwa nini wajeda walio wengi japo sio wote mara nyingi hufa kwa ukimwi? Na kwa nini wajeda hua wanachezea hisia za wanawake zao
 
Halafu kwa nini wajeda walio wengi japo sio wote mara nyingi hufa kwa ukimwi? Na kwa nini wajeda hua wanachezea hisia za wanawake zao
Hili la Wao Kufa kwa UKIMWI nakukatalia na unawaonea na hata la kuhusu kuchezea Hisia za Wanawake wao pia nakupinga.

Umekuwa too General Mkuu na umesahau kuwa UKIMWI hauui na haujaua tu Wanajeshi pekee bali hata Kada zingine nao 'umewapukutisha' sana tu.

Kuhusu Wao kucheza na Akili za Wanawake ni kwamba Kiasili na Kisaikolojia hakuna Mwanaume Mwaminifu na ambaye hamsumbui ( hamuumizi ) ama Mkewe au Mpenzi wake.

Kikubwa Dada zetu watuvumilie mno tu.
 
Tatizo ni kubwa , mwanajesh anakesha lindo, mara kaenda kulinda amani somalia, sudan miezi mitatu unategemea mke wake hizo genye apeleke wapi? lazma achapwe na hapo ndipo ugomvu unapoanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…