sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
- Thread starter
- #21
yaani samba FC a.k.a mikia mwaka huu ni majanga matupuu, kikosi chenyewe kibovu, michezaji nidham mbovu, forward butu umri umeenda, koche ana technique za kizamani, usajili wa ovyo ovyo, ofisa habari mcharukoko hajui majukumu yake, mnunuzi wa litimu mwenyeweee.....ahaaa namhifadhi kidogo ila siku zake zina hesabika!
na hapo tulikuwa ugenini, nyie subiri siku tukiwa nyumbani siku hiyo lazima msambaratikite vilivyo, nyambafu zenuuu..
Mkuu hiyo timu inayoitwa Samba FC ndo ipi? Ina majanga zaidi aliyo nayo Ndala?