'Ndugu Zetu' Yanga SC Hili Ni Ombi Langu Kwenu.

yaani samba FC a.k.a mikia mwaka huu ni majanga matupuu, kikosi chenyewe kibovu, michezaji nidham mbovu, forward butu umri umeenda, koche ana technique za kizamani, usajili wa ovyo ovyo, ofisa habari mcharukoko hajui majukumu yake, mnunuzi wa litimu mwenyeweee.....ahaaa namhifadhi kidogo ila siku zake zina hesabika!
na hapo tulikuwa ugenini, nyie subiri siku tukiwa nyumbani siku hiyo lazima msambaratikite vilivyo, nyambafu zenuuu..

Mkuu hiyo timu inayoitwa Samba FC ndo ipi? Ina majanga zaidi aliyo nayo Ndala?
 
yaani samba FC a.k.a mikia mwaka huu ni majanga matupuu, kikosi chenyewe kibovu, michezaji nidham mbovu, forward butu umri umeenda, koche ana technique za kizamani, usajili wa ovyo ovyo, ofisa habari mcharukoko hajui majukumu yake, mnunuzi wa litimu mwenyeweee.....ahaaa namhifadhi kidogo ila siku zake zina hesabika!
na hapo tulikuwa ugenini, nyie subiri siku tukiwa nyumbani siku hiyo lazima msambaratikite vilivyo, nyambafu zenuuu..
Ila tuna hela kuliko nyinyi
 
yanayoikuta zambia kutoka kwa china, yana wasuburi, bado kidogo tuu dogo mo anajimilikisha hilo litimu llenu la ovyo ovyo lisilokuwa na mipango!
Ushakuwa sheikh yahaya mzee?
 
Baada ya mechi ya 30/09/2018 ambapo Simba SC alitawala kila kona, isipokua mambo ya ulozi, mapato yaliyopatikana yalikua zaidi ya milioni 400. Katika fungu hilo, Bingwa mtetezi wa TPL na FA, Simba SC alipata zaidi ya milioni 190 huku Ndala wakipata milioni 0.

Sasa;
1. Kwakua 'ndugu zetu' Ndala mna hali ngumu sana ya kiuchumi.. Na kuhusu hili Tanzania inajua.. Africa inajua.. na Dunia inajua.
2. Kwakua sisi Simba SC tumejaariwa roho ya huruma na fedha tunayo (Si tunayo tu bali ni yakutosha).
3. Kwakua hatutaki 'ndugu zetu' mfutike katika ramani ya soka.

Ombi langu kwenu 'ndugu zetu' Ndala mnaonaje mkaomba mechi ya kirafiki nasi katika kipindi hiki cha mapumziko ya mechi za kimataifa.
Katika mechi hiyo, sisi mabingwa watetezi wa TPL na FA tutajaza uwanja wote, alafu mapato yote tutawaachia mhangaike nayo.

Huu utakua mchango mkubwa sana toka kwetu, kuja kwenu 'ndugu zetu' katika kipindi hiki kigumu mnachopitia.
'Ndugu zetu' Ndala, udugu si kufanana bali ni kufaana. Na sisi Simba SC tumeamua kuwasaidia.

Nawasilisha.
Wacha kupotosha hapa, bingwa wa FA ni Mtibwa Sugar, Simba haya mashindano aliaga first round, na alitobolewa na timu ya daraja LA pili inaitwa Green Warriors. Kamdanganye mkeo huko home kwako. Wakati jifunze kuandika vitu vya ukweli, otherwise unajiahibisha mwenyewe mkuu.
 
Hahaha.. Kumbe mna kumbukumbu na makombe yanayochukuliwa na wanaume? Nanyi mlichukua kombe gani?
 
Mikia tukutane march,kipindi iko tutakua na kahata,tuyisenge na jesse were kwa hisani ya yusuf mehboob manji
 
Vipi mtaongeza na mganga mwingine, au mtabaki na yule yule wa Moro?
 
Baada ya mechi ya 30/09/2018 ambapo Simba SC alitawala kila kona, isipokua mambo ya ulozi, mapato yaliyopatikana yalikua zaidi ya milioni 400. Katika fungu hilo, Bingwa mtetezi wa TPL na FA, Simba SC alipata zaidi ya milioni 190 huku Ndala wakipata milioni 0.

Sasa;
1. Kwakua 'ndugu zetu' Ndala mna hali ngumu sana ya kiuchumi.. Na kuhusu hili Tanzania inajua.. Africa inajua.. na Dunia inajua.
2. Kwakua sisi Simba SC tumejaariwa roho ya huruma na fedha tunayo (Si tunayo tu bali ni yakutosha).
3. Kwakua hatutaki 'ndugu zetu' mfutike katika ramani ya soka.

Ombi langu kwenu 'ndugu zetu' Ndala mnaonaje mkaomba mechi ya kirafiki nasi katika kipindi hiki cha mapumziko ya mechi za kimataifa.
Katika mechi hiyo, sisi mabingwa watetezi wa TPL na FA tutajaza uwanja wote, alafu mapato yote tutawaachia mhangaike nayo.

Huu utakua mchango mkubwa sana toka kwetu, kuja kwenu 'ndugu zetu' katika kipindi hiki kigumu mnachopitia.
'Ndugu zetu' Ndala, udugu si kufanana bali ni kufaana. Na sisi Simba SC tumeamua kuwasaidia.

Nawasilisha.
Matusi yaliyopakwa rangi haya. Kisa ni draw tu.
 
Hapo jangwan ukitangaza mechi kesho na Simba kina Yondan wataleta bedrest toka muhimbili hospital mpaka sass vigimbi havijaachia kwa jinsi walivyokimbizwa
 
Mkuu chonde chonde ile mipasi zaidi ya 2341 tuliyopigia juzi isivunje undugu wetu.
Kila baada ya miaka kadhaa mifumo ya uchezaji mpira inabadilika..ndio maana Brazil hawana makali ya zamani...Barcelona wanataabika...2018 kucheza samba ni aibu...Mpira wa kisasa ni kama waliocheza France world cup..mtaendelea kupiga pasi 5000 huchukui points tatu....
 
Yaaani mbumbumbu bado mnaweweseka na Yanga tu mpaka leo hii?
 
Back
Top Bottom