'Ndugu Zetu' Yanga SC Hili Ni Ombi Langu Kwenu.

Huna mpya,wewe ni Mikia kama mikia mingine.. Mmeshindwa kushinda ile big match mje kushinde hicho chandimu...!!!
 
Acha upuuzi we mtu.
 
Walitukimbia mtani jembe,wakatumbia Kagame,TPL wakachezeshwa mziki. Sijui kama round ya 2 watatia timu
 
Mleta mada amethibitishia uma ule umbumbu, tatizo la kukosa pesa ni la timu zote. Simba na yanga zina matatizo yanayo fanana hazina ubunifu wa kujipatia mapato zaidi ya kutegemea baadhi ya watu fulani badala ya kujijengea uwezo wa kiuchumi kama taasisi
 

1.kwa kanuni mpya za tbl timu mwenyeji anapata mapato yote ya mechi ukitoa gharama za mchezo na uwanja so yanga kupata 0% sio issue.

2. bado kuna mechi ya marudiano na mashindano kibao mbeleni so tulizeni mishono.

5.yanga mpaka sasa hajapoteza mchezo

6. kama hamkujiandaa preseason rudini uturuki mkacheze na wapishi wa hotel I

7. simba yenye uwekezani wa more than 20b kujinasibu mmepiga pasi nyingi na kutoa draw na yanga yenye uwekezaji usiofika 500m ni aibu
 
Kumbe hakuna mabingwa wa short on target wala wapaki basi tunaongoza sisi Mtibwa na kikosi chetu cha milioni 40 kina Kuhimbwa
 
Mkuu tutake radhi mabingwa watetezi wa TPL.. kwenye kamusi yetu hakuna neno hatuna ubunifu.
Mi Kandambili ndiyo hamna ubunifu.. Ndo mana kutwa kucha mnatuletea mabakuli tuwachangie.l
 
Ni wewe tu unaeamini kuwa tuko kwenye hali ngum
 
Mkuu tutake radhi mabingwa watetezi wa TPL.. kwenye kamusi yetu hakuna neno hatuna ubunifu.
Mi Kandambili ndiyo hamna ubunifu.. Ndo mana kutwa kucha mnatuletea mabakuli tuwachangie.l
Kwa nimekosea wapi? Kila mwananchi akichangia buku kwa mwezi si chini ya 20b ambazo ni sawa na mtaji wa kuinunua simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…