Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wamatopeni mmeanza kelele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upuuzi we mtu.Baada ya mechi ya 30/09/2018 ambapo Simba SC alitawala kila kona, isipokua mambo ya ulozi, mapato yaliyopatikana yalikua zaidi ya milioni 400. Katika fungu hilo, Bingwa mtetezi wa TPL na FA, Simba SC alipata zaidi ya milioni 190 huku Ndala wakipata milioni 0.
Sasa;
1. Kwakua 'ndugu zetu' Ndala mna hali ngumu sana ya kiuchumi.. Na kuhusu hili Tanzania inajua.. Africa inajua.. na Dunia inajua.
2. Kwakua sisi Simba SC tumejaariwa roho ya huruma na fedha tunayo (Si tunayo tu bali ni yakutosha).
3. Kwakua hatutaki 'ndugu zetu' mfutike katika ramani ya soka.
Ombi langu kwenu 'ndugu zetu' Ndala mnaonaje mkaomba mechi ya kirafiki nasi katika kipindi hiki cha mapumziko ya mechi za kimataifa.
Katika mechi hiyo, sisi mabingwa watetezi wa TPL na FA tutajaza uwanja wote, alafu mapato yote tutawaachia mhangaike nayo.
Huu utakua mchango mkubwa sana toka kwetu, kuja kwenu 'ndugu zetu' katika kipindi hiki kigumu mnachopitia.
'Ndugu zetu' Ndala, udugu si kufanana bali ni kufaana. Na sisi Simba SC tumeamua kuwasaidia.
Nawasilisha.
Za juu ya kapeti manji kagoma kurudi yangaZa chini ya kapeti mo anaingia mitini,muda utaongea
Hata nyie hela hamna
Makalio hulia ..........Masikini Akipata....
Makalio hulia ..........
Mleta mada amethibitishia uma ule umbumbu, tatizo la kukosa pesa ni la timu zote. Simba na yanga zina matatizo yanayo fanana hazina ubunifu wa kujipatia mapato zaidi ya kutegemea baadhi ya watu fulani badala ya kujijengea uwezo wa kiuchumi kama taasisiMBA....
Baada ya mechi ya 30/09/2018 ambapo Simba SC alitawala kila kona, isipokua mambo ya ulozi, mapato yaliyopatikana yalikua zaidi ya milioni 400. Katika fungu hilo, Bingwa mtetezi wa TPL na FA, Simba SC alipata zaidi ya milioni 190 huku Ndala wakipata milioni 0.
Sasa;
1. Kwakua 'ndugu zetu' Ndala mna hali ngumu sana ya kiuchumi.. Na kuhusu hili Tanzania inajua.. Africa inajua.. na Dunia inajua.
2. Kwakua sisi Simba SC tumejaariwa roho ya huruma na fedha tunayo (Si tunayo tu bali ni yakutosha).
3. Kwakua hatutaki 'ndugu zetu' mfutike katika ramani ya soka.
Ombi langu kwenu 'ndugu zetu' Ndala mnaonaje mkaomba mechi ya kirafiki nasi katika kipindi hiki cha mapumziko ya mechi za kimataifa.
Katika mechi hiyo, sisi mabingwa watetezi wa TPL na FA tutajaza uwanja wote, alafu mapato yote tutawaachia mhangaike nayo.
Huu utakua mchango mkubwa sana toka kwetu, kuja kwenu 'ndugu zetu' katika kipindi hiki kigumu mnachopitia.
'Ndugu zetu' Ndala, udugu si kufanana bali ni kufaana. Na sisi Simba SC tumeamua kuwasaidia.
Nawasilisha.
Agiza Pepsi baridi popote ulipo mkuu nitalipa[emoji23][emoji23]WANANCHI hatunaga undugu na MBUMBUMBU.
Mkuu tutake radhi mabingwa watetezi wa TPL.. kwenye kamusi yetu hakuna neno hatuna ubunifu.Mleta mada amethibitishia uma ule umbumbu, tatizo la kukosa pesa ni la timu zote. Simba na yanga zina matatizo yanayo fanana hazina ubunifu wa kujipatia mapato zaidi ya kutegemea baadhi ya watu fulani badala ya kujijengea uwezo wa kiuchumi kama taasisi
January haitafika.. Lazima tupindue msimamo kibabe.Kumbe hakuna mabingwa wa short on target wala wapaki basi tunaongoza sisi Mtibwa na kikosi chetu cha milioni 40 kina KuhimbwaView attachment 887590
Kwa nimekosea wapi? Kila mwananchi akichangia buku kwa mwezi si chini ya 20b ambazo ni sawa na mtaji wa kuinunua simbaMkuu tutake radhi mabingwa watetezi wa TPL.. kwenye kamusi yetu hakuna neno hatuna ubunifu.
Mi Kandambili ndiyo hamna ubunifu.. Ndo mana kutwa kucha mnatuletea mabakuli tuwachangie.l
Mkuu.. Mficha maradhi.. Kifo humuumbua. Shauri zenu.Ni wewe tu unaeamini kuwa tuko kwenye hali ngum