Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!
Infact add the whole BOT management and Board!
alikuwa naibu wa Balali unadhani yupo pale sasa kwa lengo gani?? maana hakuna mahala ktk ripoti kwamba Ndulu alipingana na maamuzi ya bosi wake Balali ktk kuchota hela. ila amewekwa kuondosha posible evidences zilizoachwa na aliyemtangulia. nilidhani Rais angemteua mtu mwingine from presiding board ya governess lakini akafanya backwards.Mchungaji naona umekuwa mkali kweli kweli bila kutueleza kilichokufanya utake hao akina knuckleheads wawe fired!
Naam Ndulu nilidhani ana msimamo wa maana baada ya madudu yaliyotokea Benki kuu lakini kumbe na yeye ni kichwa mbovu tu! Haingii akilini kwa kiongozi iwe wa Serikali ama Shirika atake kumiliki nyumba ya kifahari kwa kutumia fedha za wavuja jasho! Ama kweli Watanzania wanaonewa na kuoneana!
Nakubaliana nawe, kwa ubadhilifu uliotokea BOT wa kutumia bilioni za fedha kwa ajili ya nyumba ya mtu mmoja tu Board nzima inastahili kujiuzulu na kutakiwa warejeshe fedha walizoacha zikatumiwa isivyo halali. Mkulo angeliweza kujijengea jina kukemea vitendo vya ubadhilifu kama hivyo. Hayo yako ndani ya uwezo wake kama Waziri muhusika.
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!
Infact add the whole BOT management and Board!
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!
Infact add the whole BOT management and Board!
Rev,
Yaani huto Tu-USD 2.4 Mil Tu...ndio tunakutoa macho kiasi hicho. Acha masihara Rev, kwa hii nchi hiyo ni hela ndogo sana.!!!!!
huyu Utoh ndo mambwembwe tupu kumbe nalo lijizi na lifisadi....linatoa macho tu badala ya kudhibiti mambo ya kutumia mahela yetu bila utaratibu...
Apart from what has been suggested here, which I strongly support, I also think there should be a separation between the Chairmanship of the Board of BOT and the Governor. All the messes that we are hearring at BOT are mostly caused by the BOT Board structure.

I also think there should be a separation between the Chairmanship of the Board of BOT and the Governor. All the messes that we are hearring at BOT are mostly caused by the BOT Board structure.
Apart from what has been suggested here, which I strongly support, I also think there should be a separation between the Chairmanship of the Board of BOT and the Governor. All the messes that we are hearring at BOT are mostly caused by the BOT Board structure.
Ndullu, aina ya maprofesa wengi wa kitanzania. Hawana msaada wowote kwenye kuiboresha hii nchi. Ni wapiga sound na mabingwa wa kutoa cv ndefu kutamba wao ni kina nani!