Ndullu, Mkulo and Utoh Should be Fired!

Ndullu, Mkulo and Utoh Should be Fired!

..nimeona Malawi na Kenya wana utaratibu kama wetu kwamba Gavana ndiye mwenyekiti wa bodi ya benki kuu.

..naibu gavana ni naibu mwenyekiti wa bodi kama ilivyo kwa benki yetu.

..pia wanafuata utaratibu kama wetu ambapo Katibu Mkuu Hazina ni mjumbe wa bodi ya benki kuu kutokana na wadhifa wake[ex-officio] na hana haki ya kupiga kura ktk vikao vya bodi.

Naona kuiga utaratibu wa hizi nchi ni matatizo no accountability kama kwetu wezi hawaishi tuangalie wenzetu wa Sweden, UK, USA, Canada na China halafu tuukarabati kutokana na uchumi wetu na hali halisi.
 
Wacha1,

..sijui China, Sweden,au Canada wana utaratibu gani.

..USA benki[Federal Reserve Bank] yao ina muundo tofauti na a little complicated kulinganisha na huu wetu. wao hawana Governor wana cheo kinaitwa Chairman of the board of Governors of Fed res Bank. huyo naye maamuzi yake hayaingiliwi na chombo chochote kile.

..huu muundo umewekwa ili Gavana awe huru ktk utendaji wake, na maamuzi yazingatie utaalamu.

..Marekani wao Chairman wa Fed anateuliwa na Raisi, lakini uteuzi wake lazima uidhinishwe na bunge lao.
 
I wish the firing system of the top mentioned guys could be self(Automatic) starting.Kama inahitaji mtu apress button hilo halipo na tusahau
 
Wacha1,

..Namibia wamewahi kuwa na Governors toka nchi marafiki zao kama Uholanzi,Sweden,na Malaysia, kabla hawajateua mzawa kuchukua nafasi hiyo.

..kwa hapa tulipofika labda na sisi tuteue gavana ambaye siyo raia wa Tanzania atusaidie kupasafisha hapo.

..labda tukiweka raia wa kigeni hapo tutakuwa na aibu au uoga wa kumpelea madudu kama ya EPA.

NB:

..Tanzania imeshapata kuwa na Jaji Mkuu, na Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka[DPP] ambao hawakuwa raia wa nchi hii.

..hata Zanzibar nadhani wamewahi kuwa na Attoney General toka Ghana.
 
Jokakuu
 
Nafahamu USA Federal ni Private Company na UK wamepewa uhuru na wana members ambao kila musimu wanaamua Interest rate etc. Ni vizuri tuangalie kwenye nchi zote ambazo ziko mbali sana kiuchumi kuliko kufuata i.e. Kenya au Malawi. Tuweke system ambayo itakuwa madhubuti ambayo itakuwa na sheria kali. Tatizo kubwa ambalo naliona Tanzania ni sheria za zamani sana ambazo haziendani na wakati mfano mameneja wengi kupewa uhuru wa kutumia magari ya mashirika kitu ambacho kwenye nchi zilizoendelea hakipo. Mawaziri na mameneja wengi tu kuwa na madereva ambao hawafanyi kazi za kiofisi bali kazi binafsi za maboss wao lakini wanalipwa na pesa za walipa kodi etc.

Kuna ufujaji mkubwa sana wa pesa za walipa kodi. walinzi wa usiku kwa mfano nani anawalipa kwenye nyumba za baadhi ya viongozi? System yetu inatakiwa kuwa overhauled kwa hali ya juu. Ni sawa na katiba yetu ambayo mambo mengi yanafanyika kienyeji sana. Hii scandal ya BOT tayari watu wangeacha kazi wenyewe bila hata ya kufukuzwa lakini kwa sababu ndio ulaji wenyewe pengine/hata huyo anayewaweka tayari anaangalia ulaji wake.
 
Jokakuu

Hakuna sababu ya kuchagua mtu ambaye siyo Mtanzania. Tunao wasomi wengi tu wanaoweza kufanya hizi kazi. Ni kuweka sheria madhubuti tu na kuwashitaki na ikibidi kuwafilisi mali zao. Hawa akina Ndulu, Chenge, EL na Rostam Aziz ni wezi wa kuwaweka keko wanaiba halafu tunawachekea. FMES alisema juzi wenzetu China wanawanyonga.
 
Mkuu your right on the money; isssue sio ability bali ni misingi mibovu hata mi nadhani. hawa watu ni waelevu mno na awana challenge za pembeni na wala awajacholewa mipaka ya matumizi yao na hilo ni tatizo better in your explanation.
 
Kwa hiyo tukubaliane ni watu wenye nia mbaya ya kuiba na kupora. Wangekuwa watu safi, wangeona kuwa mahali wanapoenda mifumo yake iko open kwa hiyo kazi yao ya kwanza ingekuwa ni kuseal hiyo mifumo ili kuziba mianya. Lakini kwa kuwa wana nia ya kujinufaisha na kuiba hiyo mianya wanapoiona huiachia wakijua kuna siku na wao watanufaika. Suala ni moja tu, hawa watu ama in incompetent (yaani hawajui jinsi ya kuziongoza taasisi kama benki kuu ya nchi - Wanachukua tu walichokikuta) au ni wenye nia mbaya ya kujinufaisha kutokana na ubovu wa mifumo. In all cases sioni werevu hapa!!
 
Jokakuu

Hakuna sababu ya kuchagua mtu ambaye siyo Mtanzania. Tunao wasomi wengi tu wanaoweza kufanya hizi kazi. Ni kuweka sheria madhubuti tu na kuwashitaki na ikibidi kuwafilisi mali zao. Hawa akina Ndulu, Chenge, EL na Rostam Aziz ni wezi wa kuwaweka keko wanaiba halafu tunawachekea. FMES alisema juzi wenzetu China wanawanyonga.

Nakubaliana na wewe Tanzania ina wasomi wengi tu ambao wanaweza kukaa ndani ya board. Kuna jamaa mmoja aliwahi kunambia wizara ya mambo ya nje waliwahi kufanya assessment wakasema Tanzania sasa hivi karibu kila mwaka pana mtanzania zaidi ya mmoja anagraduate PhD hivyo sidhani Tanzania tunamuhitaji John Smith aje asimamie pesa zetu hao wazungu wenyewe ni wezi wa kutupwa.

Ishu hapa ni je nani anamsimamia gavana?????

Tunaweza kusema tunataka mtu safi but mtu safi haji labda toka mbinguni na watu waaminifu katika dunia ya leo wachache sana. cha msingi mtu safi tunamtengeneza sisi wenyewe akiwa anasimamiwa huyu gavana unadhani atafanya upumbavu kama huu hata siku mmoja kwasababu anajua kitumbua chake kitaingia mchanga hivyo basi ataifanya kazi kwa uaangalifu.

Lakini akiwa gavana yeye ndio mungu mtu pale BOT hakuna wa kumzuia hata tumlete professa baba askofu fulani au professa alhaji fulani (ni mfano tu) akiziona njia za hela atakula tu.

Hivyo la msingi tujiulize nani anamsimamia gavana??? jibu utakuta ni Bodi sasa kazi ya bodi nini na je hao wajumbe wanajua kazi zao humu au wanaenda kutafuna per diem na marupurupu mengineyo tu.
 
The Court of Directors

The Bank of England Act 1998, which came into force on 1 June 1998, changed the constitution and duties of the Court of Directors from that set out in the previous Act of 1946, strengthening the Bank's governance and accountability, as well as formalising the Bank's responsibility for the conduct of monetary policy.

The Banking Act 2009 introduced a number of reforms to the governance of the Bank of England, including modernising the operations of Court reducing its size from 19 down to 12 members, of whom a majority must be non-executive and formalising the current arrangements. The Chancellor of the Exchequer has designated Sir David Lees to Chair the meetings of Court.
The Act provides for the appointment, by the Crown, of a Governor, two Deputy Governors and nine non-executive Directors. The term of appointment for the Governor and two Deputy Governors is five years and for the Directors, three years, all of which are renewable. This year though, some are initially appointed for different durations so as to stagger end dates and help ensure continuity.

Photographs and Involvements

Court meets a minimum of seven times in a calendar year, and its functions are to manage the Bank's affairs other than the formulation of monetary policy, which is the responsibility of the Monetary Policy Committee . This includes determining the Bank's objectives and strategy, ensuring the effective discharge of the Bank's functions , ensuring the most efficient use of the Bank's resources and to review the Bank's strategy in relation to the Financial Stability Objective.

Under the Bank of England Act 1998, certain functions of Court are delegated to a sub-committee comprising the nine non-executive Directors of the Bank. This sub-committee is known as NedCo.

The delegated functions are:-

1. keeping under review the Bank's performance in relation to its objectives and strategy for the time being determined by Court;
2. monitoring the extent to which the objectives set in relation to the Bank's financial management have been met;
3. keeping under review the internal financial controls of the Bank with a view to securing the proper conduct of its financial affairs;
4. determining how the remuneration and pensions of the executive members of Court should be fixed;
5. keeping under review the procedures following by the Monetary Policy Committee, including determining whether the Monetary Policy Committee has collected the regional, sectoral and other information necessary for the purposes of formulating monetary policy;
6. determining the terms and conditions of the members of the Monetary Policy Committee who are appointed by the Chancellor of the Exchequer.

Mervyn Allister King, Esq.
Governor
(First appointed to Court 1 March 1990, appointed Executive Director 1 March 1991 and appointed Deputy Governor on 1 June 1998)
Mervyn Allister King, Esq
Date of first appointment in current position
1 July 2003 Expiry date of appointment
30 June 2013

Charles Bean
Deputy Governor, Monetary Policy
Charles Bean
Date of first appointment in current position
1 July 2008 Expiry date of appointment
30 June 2013

Paul Tucker
Deputy Governor, Financial Stability

Paul Tucker
Date of first appointment in current position
1 March 2009 Expiry date of appointment
28 February 2014

Brendan Paul Barber, Esq.
General Secretary, Trades Union Congress
Brendan Barber
Date of first appointment in current position
1 June 2003 Expiry date of appointment
31 May 2011

Roger Carr, Esq.
Chairman of Centrica plc and Chairman Cadburys plc
Mr Roger Carr
Date of first appointment in current position
1 June 2007 Expiry date of appointment
31 May 2011

Sir David Lees
Chair of Court
Sir David Lees

Date of first appointment in current position
1 June 2009 Expiry date of appointment
31 May 2012

António Horta-Osório
Chief Executive of Abbey National plc
Antonio Horta-Osorio
Date of first appointment in current position
1 June 2009 Expiry date of appointment
31 May 2012

Ms Susan Rice, FCIBS D.BA
Chief Executive, Lloyds TSB Scotland plc and Managing Director of Lloyds Banking Group Scotland
Ms Susan Rice
Date of first appointment in current position
1 June 2007 Expiry date of appointment
31 May 2011

John Stewart
Board member, Legal and General
John Stewart
Date of first appointment in current position
1 December 2009 Expiry date of appointment
30 November 2012

Mark Tucker
Mark Tucker
Date of first appointment in current position
1 June 2009 Expiry date of appointment
31 May 2012

Lord Adair Turner
Chairman, Financial Services Authority
Lord Adair Turner
Date of first appointment in current position
20 September 2008 Expiry date of appointment
31 May 2012

Harrison Young
Non-Executive Director of the Commonwealth Bank of Australia

Harrison Young

Date of first appointment in current position
1 June 2009 Expiry date of appointment
31 May 2011

Wenzetu waingereza tizama board zao wanajua inaweza kutokea madudu kama haya Chairman wa board anateuliwa na waziri wa fedha ambaye Alistair Darling.
 
Kwa hiyo tukubaliane ni watu wenye nia mbaya ya kuiba na kupora. Wangekuwa watu safi, wangeona kuwa mahali wanapoenda mifumo yake iko open kwa hiyo kazi yao ya kwanza ingekuwa ni kuseal hiyo mifumo ili kuziba mianya. Lakini kwa kuwa wana nia ya kujinufaisha na kuiba hiyo mianya wanapoiona huiachia wakijua kuna siku na wao watanufaika. Suala ni moja tu, hawa watu ama in incompetent (yaani hawajui jinsi ya kuziongoza taasisi kama benki kuu ya nchi - Wanachukua tu walichokikuta) au ni wenye nia mbaya ya kujinufaisha kutokana na ubovu wa mifumo. In all cases sioni werevu hapa!!
Werevu ni kwa sababu wana right qualification until proven otherwise kama wengine walivyobainika. Hivyo you'd expect kuhusu suala la ujuaji wa kazi si tatizo kwao based on their qualifications and home grown experience.

Integrity hilo ni suala lingine; it is something that evades all major bodies of our society be it politics; finance and son on. Si yeye tu mwenye tamaa ni wengi mno kwenye jamii zetu za kiafrika. Ndipo hapo accountability with consequences inapohitajika kuzuia tamaa. Body pekee ambayo ina members within the organisation; personal i think is not enough to guarantee us accountability.

Hiyo ndio argument yangu issue sio ability bali ni mfumo unao ruhusu tamaa ziende unpunished. Ukitazama wenzetu licha ya whoever selected them kuna independent QUANGO'S ambazo zina monitor performance and always scrutinize unnecessary spendings.

Kingine sidhani kama serikali yetu ina mikakati au long term strategy on what to invest with taxpayers money. Hivyo performace ya governor wetu ni unmeasurable na wajibu wake ni utata kwenye society isoyokua na long term strategy.

All those examples are a recipe for corruption na ukizingatia BoT na serikali yake aina plan nzuri ya matumizi ya hela za Umma si ajabu watu wanaona bora wajenge majumba ya mabillion kwenye mfuko wa wawalipa kodi. Au wawakopeshe wafanayakazi wao.

Kwani si kazi ya gavana kupanga national spending hiyo ni role of the government liasing with the central bank as advisors. Clearly there's no eye from the government kulinda kipato chake ndio maana hizi large sum zinapoteaga hovyo. This all thing brings us back to square one poor organisation.
 
Wacha1,Mdondoaji,Kipimapembe,Juma Contena,

..utaratibu wa gavana kuwa mwenyekiti wa bodi ya benki upo karibu kila nchi niliyojaribu kuangalia central bank yao. Ghana wamekuwa na utaratibu huo tangu mwaka 1957 walipoanzisha benki yao.

..sababu zilizopelekea kuwa na utaratibu huo ni kwamba Gavana na Benki Kuu yoyote ile wanapaswa kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na vyombo vingine haswa wanasiasa. huu utaratibu ungekuwa hauna maana au haufai basi tusingekuta unatumika ktk mataifa mengi kiasi hiki.

..tatizo la Tanzania siyo kwamba hakuna sheria. kinachotokea ni kwamba wale wenye dhamana ya kusimamia sheria ndiyo wavunjaji nambari one wa sheria hizo.

..Gavana wa BOT anateuliwa na Raisi. ikiwa Gavana atakiuka taratibu na maadili ya kazi yake basi anayepaswa kumchukulia hatua ni Raisi.

..tulikuwa na utaratibu wa kuteua magavana ambao ni wasomi wenye uzoefu wa humuhumu nchi. baadaye tukaona hao hawatufai, tukaamua kuleta wa-Tanzania wenye uzoefu wa kimataifa. hao waliotoka nje nao inaelekea hawafai.

..kwa utaratibu tulionao Raisi ndiye mwenye mamlaka ya kumchukulia hatua za kinidhamu gavana aliyekiuka miiko na maadili ya kazi yake.

..wizi na ufujaji ambao umeshatokea kipindi chote cha uhai wa BOT ni ktk scale ambayo ni vigumu kuamini kwamba hauna baraka za mamlaka yake ya usimamizi na nidhamu. kwamba imekuwa vigumu kuwachukulia hatua wahusika keeps on feeding those suspicions.

..mamlaka zote za nidhamu na usimamizi nchi hii zimekuwa compromised. bunge letu limesheheni matapeli, wachumia tumbo, na majuzi tumesikia kwamba hata wafanya biashara wa madawa ya kulevya wamo humo. hata Raisi wetu naye, where does he get the moral authority kumuadhibu yeyote yule ukizingatia pesa chafu zilizompatia nafasi hiyo na mabilioni anayotumbua kwa safari zisizo na tija yoyote?
 
Mh; kwa ufanunuzi wako ni kwamba we're doomed nakubaliana na hilo. Hila haya matatizo yetu hasa kwetu sijui ya huko Ghana ni nguvu za Mr.President.

Ni kila nyumba ya wizi tunayoingia tunatolewa na mlango wa nyuma kuwa kuna sauti ya raisi ambayo inatuvunja nguvu kupekua zaidi. Ndio nasemaga ingawa sehemu za ufisadi ni far apart kinga zao ni raisi asiyewajibika period.

Na hili ni utaratibu uliomuwezesha kufika hapo halipo raisi wetu michango haramu ambayo inabidi ailipie kwa gharama za taxpayers through ufisadi.

Hivyo matatizo yote mwisho urudi sehemu moja na maelezo uliyoyaleta 100% right. Lakini mpaka hapo tutapojifunza kupunguza madaraka ya raisi na kuwe na vyombo vitatu hata vinne vinavyoweza kumchallenge sidhani kama kutakuwa na mabadiliko hata serikali yetu aiongoeze nani huo ni mtazamo wangu.
 
Mkuu Joka Kuu, niko nawe kwenye hili.
Mimi nadhani haya yaliyotokea Benki Kuu ni tip of the iceberg. Matumizi mabovu hayako huko tuu. Kuanzia mishahara ya ajabu isiyoendana na utendaji kazi, marupurupu ya ajabu, maofisi yanaoonyesha ulimbukeni wetu (self container, makatibu muhtasi lukuki n.k), magari ya kifahari, kupanda first class, n.k.
Mimi ningependekeza tuige mfano wa marekani ambapo wakubwa wanachaguliwa na rais na kupitishwa na bunge. Pamoja na hayo bunge lina haki ya kuwaita na kuwahoji kuhusu utendaji wao. Lakini ili bunge liweze kuwa na meno inabidi tutenganishe ubunge na chama. Mbunge awakilishe jimbo na si chama. Kwa hali hiyo hapatakuwa na ulazima wa mgombeaji ubunge kupendekezwa na chama na mbunge kubaki katika chama ambacho anaona kimepoteza muelekeo. Bila kuwa na wabunge wanaowakilisha wananchi wa nchi hii badala ya vyama vilivyowateua, upuuzi huu utaendelea. Pamoja na yote haya ni lazima pawe na uwazi kuhusu mishahara, marupurupu, stahili na matumizi ya watendaji wote wakuu!

Amandla.......
 
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!

Infact add the whole BOT management and Board!

Rev, firing them for what?. You can not fire your subordinates if what they are doing is exactly what you have asked them to do. That is "Do whatever you can, using the power I have deligated to you to make sure our party has enough sum of money for 2010 election campaign"?. This is exactly what they are required to do for them to stay in their current job positions.

Believe me if these professionals stick to what their professions require them to do, "that is be good custodians for country's resources" they'll be fired or reshuffled before it's too late for ruling party's "knuckleheads"
 
Haya yote yanatokana na nchi kukosa maadili na wasimamizi wa maadili hayo wamelala usingizi na hawajui nini kinaendelea, bahati mbaya zaidi hata wakigundua hao kina Ndullu ni washikaji zao watawachekea tu kwani dhambi zao zinafanana. Tuwaombee mapepo mabaya ya kutoipenda nchi yao yawatoke, vinginevyo nimeishiwa ya kusema, nchi inasikitisha!
 
Wacha1,Mdondoaji,Kipimapembe,Juma Contena,

..utaratibu wa gavana kuwa mwenyekiti wa bodi ya benki upo karibu kila nchi niliyojaribu kuangalia central bank yao. Ghana wamekuwa na utaratibu huo tangu mwaka 1957 walipoanzisha benki yao.

..sababu zilizopelekea kuwa na utaratibu huo ni kwamba Gavana na Benki Kuu yoyote ile wanapaswa kufanya kazi kwa uhuru bila kuingiliwa na vyombo vingine haswa wanasiasa. huu utaratibu ungekuwa hauna maana au haufai basi tusingekuta unatumika ktk mataifa mengi kiasi hiki.

..tatizo la Tanzania siyo kwamba hakuna sheria. kinachotokea ni kwamba wale wenye dhamana ya kusimamia sheria ndiyo wavunjaji nambari one wa sheria hizo.

..Gavana wa BOT anateuliwa na Raisi. ikiwa Gavana atakiuka taratibu na maadili ya kazi yake basi anayepaswa kumchukulia hatua ni Raisi.

..tulikuwa na utaratibu wa kuteua magavana ambao ni wasomi wenye uzoefu wa humuhumu nchi. baadaye tukaona hao hawatufai, tukaamua kuleta wa-Tanzania wenye uzoefu wa kimataifa. hao waliotoka nje nao inaelekea hawafai.

..kwa utaratibu tulionao Raisi ndiye mwenye mamlaka ya kumchukulia hatua za kinidhamu gavana aliyekiuka miiko na maadili ya kazi yake.

..wizi na ufujaji ambao umeshatokea kipindi chote cha uhai wa BOT ni ktk scale ambayo ni vigumu kuamini kwamba hauna baraka za mamlaka yake ya usimamizi na nidhamu. kwamba imekuwa vigumu kuwachukulia hatua wahusika keeps on feeding those suspicions.

..mamlaka zote za nidhamu na usimamizi nchi hii zimekuwa compromised. bunge letu limesheheni matapeli, wachumia tumbo, na majuzi tumesikia kwamba hata wafanya biashara wa madawa ya kulevya wamo humo. hata Raisi wetu naye, where does he get the moral authority kumuadhibu yeyote yule ukizingatia pesa chafu zilizompatia nafasi hiyo na mabilioni anayotumbua kwa safari zisizo na tija yoyote?

Kaka nakukubalia kwa hili kweli utaratibu wa gavana kuwa chairman wa board upo nchi nyingi but si lazima tuufate!!!.

Nchi zilizoendelea mfano UK- Chairman wa board ambayo ndio Court- Chairman ni David Lees, Gavana ni Mervyn King.

US - Chairman ni Ben Benarke, Vice Chairman David L. Kohln but ukae ukijua chini ya board wana kitu kinaitwa Federal Reserve Banks Network ambao kazi zao kama bwana Ndullu.

China - Chairman -Zhou Xiaochunan ambaye pia ni Governor

Sweden - Stefan Chairman and Governor.

Utaona kila nchi inao utaratibu unaowafaa wao sasa kama sie tushaona madudu EPA, Governor's house, Import Support, Kuungua kwa Jengo la BOT (Kama wengine mnakumbuka) sio lazima tuendelee na utaratibu huo huo.

Hii biashara ya gavana kuwa na yeye chairperson gives to many powers kwake and as result ndio hivyo tena madudu. Tukisema tuipeleke bungeni kama US utakuja kukuta hatusolve kitu kitakachotokea ni kwamba sana sana tumempunguzia raisi kazi ya kuteua gavana but hali ni ile ile hakuna monitoring ndani Bodi. Na gavana ataendelea kuwa mungu mtu ndani ya Bodi basi cha msingi gavana awe na kazi yake na vile awe mjumbe wa bodi. Chairman awe mtu mwengine kama walivyo UK kihivyo ufisadi utapungua hapo BOT.
 
Mdondoaji,

..pamoja na Gavana kuwa mwenyekiti wa bodi kuna wajumbe wengine 4 au 5 wanaoteuliwa na waziri wa fedha. wajumbe hao wana haki ya kupiga kura ikiwa jambo lolote lile litashindwa kupita by concensus.

..pia wapo makatibu wakuu wa hazina ya muungano na ya zanzibar ambao wanaingia kwenye vikao kutokana na dhamana zao. hawa hawana haki ya kupiga kura.

..katika mazingira kama hayo naamini bado Gavana anaweza kuwa challenged humo ndani ya bodi kwasababu hana mamlaka ya kuteuwa board members. anayo mamlaka ya kumchagua makamu mwenyekiti toka manaibu gavana ambao wanateuliwa na Raisi kama yeye gavana.

..sidhani kama Gavana ana nguvu kubwa kiasi hicho. kitu cha kujiuliza ni kwamba ujasiri wa kufanya madudu yote hayo unatoka wapi? na huyu siyo gavana wa kwanza kufanya madudu.

Fundi Mchundo,

..nakubaliana na mawazo yako kwa kiasi kikubwa.

..lakini ili tufanikiwe inabidi tuchague wananchi ambao wana mawazo kama yako waende bungeni wabadilishe sheria zetu.

Hivi lini tutawafukuza watu kwa uzembe au kwa maamuzi yasiyo na busara?
 
swali ninalojiuliza, je magavana kabla ya marehemu balali k.m. mzee mtei, marehemu rutihinda nk, nao walifanya madudu kama haya?
 
Back
Top Bottom