swali ninalojiuliza, je magavana kabla ya marehemu balali k.m. mzee mtei, marehemu rutihinda nk, nao walifanya madudu kama haya?
Rutihinda aliunguza jumba according to wazee wa mji wa Dar wanasema moto huo ulikuwa ni kuunguza document za mzee Ali Hassan Mwinyi na link ya biashara za pembe ya ndovu ikimuunganisha yeye, diria na Said Bakhressa (Sina facts but ni stori inazunguka sana mjini).
Yes I said it! These three knuckleheads should step down from their positions or get fired by the President!
Infact add the whole BOT management and Board!
BOT iliungua na Nyirabu si Rutihinda!
Mdondoaji,
..pamoja na Gavana kuwa mwenyekiti wa bodi kuna wajumbe wengine 4 au 5 wanaoteuliwa na waziri wa fedha. wajumbe hao wana haki ya kupiga kura ikiwa jambo lolote lile litashindwa kupita by concensus.
..pia wapo makatibu wakuu wa hazina ya muungano na ya zanzibar ambao wanaingia kwenye vikao kutokana na dhamana zao. hawa hawana haki ya kupiga kura.
..katika mazingira kama hayo naamini bado Gavana anaweza kuwa challenged humo ndani ya bodi kwasababu hana mamlaka ya kuteuwa board members. anayo mamlaka ya kumchagua makamu mwenyekiti toka manaibu gavana ambao wanateuliwa na Raisi kama yeye gavana.
..sidhani kama Gavana ana nguvu kubwa kiasi hicho. kitu cha kujiuliza ni kwamba ujasiri wa kufanya madudu yote hayo unatoka wapi? na huyu siyo gavana wa kwanza kufanya madudu.
Fundi Mchundo,
..nakubaliana na mawazo yako kwa kiasi kikubwa.
..lakini ili tufanikiwe inabidi tuchague wananchi ambao wana mawazo kama yako waende bungeni wabadilishe sheria zetu.
Mikono chini alikuwa nyirabu, hivi hii stori ni kweli???? Kama ni kweli basi rais aliyekuwa msafi alikuwa Nyerere tu basi
rev kishoka wacha unafiki
unataka kuwapa lawama ndullu, mkullo na utoh halafu unamuacha swahiba wako JK?
2010 ni wakati wa kung'oa shina(JK) na sio watumwa wake.
vote out incumbents
Tatizo ndio hapo. Wananchi hawachagui wabunge bali vyama ndivyo vinavyofanya. Wananchi wanatoa baraka tu kwa watu ambao vyama vinaona watalinda maslahi yao. Mtu mwenye mawazo kama yangu wananchi hawatapata nafasi ya kumpigia kura maana hamna chama kitakachompendekeza. Ndio maana hata hao tunaowaita wapiganaji inabidi wacheze karata zao vizuri wasiviudhi vyama vyao. Umuhimu wa kwanza unakuwa kwenye chama na si kwa wananchi!
Amandla......