Ndumba za hii timu ni hatari mno

Ndumba za hii timu ni hatari mno

😄zile hustle sa bayern vp
Ulaya yote wabaguzi Mane ni mzuri sn and hardworker wale watoto walimletea dharau kwakua wanataka kuandikwa wao Kwa mazuri and because he want success ndio maana alikasirika ninauhakika kuna walichomfanyia ndio maana akareact vile
 
Ni nadra sana ukifanya vizuri kwenye hii timu kisha ukaondoka bado wanakuhitaji ukatoboa unakokwenda.Ndio maana wana jeuri ya kukutunia muda wowote unapodai haki yako.

Upo uwezekano kuwa huenda kuna nguvu ya ndumba huwa nyuma ya uchezaji bora wa wachezaji wao na makocha wao.

Angalia makocha wao waliofanya vizuri wanapoenda timu nyingine.Wengine walipachikwa majina ya ubobevu eti tu kwa kudhaniwa wana uwezo mkubwa sana,lakini huko waliko sasa,huo ubobevu umeyeyuka.

Wengine walipata ufungaji bora Afrika lakini sasa huko waliko wanasikitisha.

Kwa nyie mliopo sasa kwenye hii timu,msianze kuzingua maana huo ndio utakuwa mwisho wenu.Hamuwezi kwenda popote hadi viwango vyenu vishuke.Ondoeni ndoto za kwenda ulaya
Hata mm naiona hyo iko wazi
 
Ni kweli ndio maana Ramadhani Singano a.k.a Messi kapotea kabisa..., Timu inakamatwa na uchawi wa kuchoma nyasi huko S.A.
 
Sisi ndio tunashangaa.Kocha anapewa sofa za ubobevu,je huu ubobevu unayeyukia wapi akihama timu?Kama si ndumba ni nini?
Kocha Nabi mbona anafanya vizuri, ligi ya Morocco yeye ndio anaongoza tayari kashinda mechi 3 kasare 1. Wydad na Raja kawaacha alama 3 nawaona AS FAR Rabat wakitetea kombe lao.

Tatizo kubwa la AS FAR Rabat walikuwa hawapo ktk ramani ya kimataifa kama Yanga misimu miwili nyuma. CAF wakiwa wanapanga mechi za kufuzu makundi huwa wanapanga timu zenye points kubwa dhidi ya timu zenye points ndogo. Endapo kama ulikuwa hufanyi vizuri ni rahisi kukutanishwa na mzito, AS FAR Rabat kacheza na bingwa wa Tunisia (Etoile du Sahel). Pia timu yake huwa wanapata umeme hovyo hovyo hata hizi mechi zote mbili walicheza pungufu, mechi yake kwenye ligi walitoa sare na Raja Casablanca kwa mambo haya haya.
 
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu. Mimi sio shabiki wa hio timu na wala sipo hapa kutoa utetezi ila kuna mifano mikubwa tunaiona hata huko ulaya mchezaji akiondoka kwa kufosi huku timu ikiwa inahitaji huduma yake safari yake ya soka hua inakua ngumu.
Cheki mane coutinho eden hazard hao ni wachache
Mbona neymar hakushuka kiwango na alifosi kuondoka?

Hao uliotaja wote ni afadhali, maan wengine club zilipokea pesa ila neymar barca walokataa pesa neymar akazipeleka kilazima
 
Back
Top Bottom