Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Ulaya yote wabaguzi Mane ni mzuri sn and hardworker wale watoto walimletea dharau kwakua wanataka kuandikwa wao Kwa mazuri and because he want success ndio maana alikasirika ninauhakika kuna walichomfanyia ndio maana akareact vile😄zile hustle sa bayern vp
Hata mm naiona hyo iko waziNi nadra sana ukifanya vizuri kwenye hii timu kisha ukaondoka bado wanakuhitaji ukatoboa unakokwenda.Ndio maana wana jeuri ya kukutunia muda wowote unapodai haki yako.
Upo uwezekano kuwa huenda kuna nguvu ya ndumba huwa nyuma ya uchezaji bora wa wachezaji wao na makocha wao.
Angalia makocha wao waliofanya vizuri wanapoenda timu nyingine.Wengine walipachikwa majina ya ubobevu eti tu kwa kudhaniwa wana uwezo mkubwa sana,lakini huko waliko sasa,huo ubobevu umeyeyuka.
Wengine walipata ufungaji bora Afrika lakini sasa huko waliko wanasikitisha.
Kwa nyie mliopo sasa kwenye hii timu,msianze kuzingua maana huo ndio utakuwa mwisho wenu.Hamuwezi kwenda popote hadi viwango vyenu vishuke.Ondoeni ndoto za kwenda ulaya
Kocha Nabi mbona anafanya vizuri, ligi ya Morocco yeye ndio anaongoza tayari kashinda mechi 3 kasare 1. Wydad na Raja kawaacha alama 3 nawaona AS FAR Rabat wakitetea kombe lao.Sisi ndio tunashangaa.Kocha anapewa sofa za ubobevu,je huu ubobevu unayeyukia wapi akihama timu?Kama si ndumba ni nini?
Mbona neymar hakushuka kiwango na alifosi kuondoka?Hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu. Mimi sio shabiki wa hio timu na wala sipo hapa kutoa utetezi ila kuna mifano mikubwa tunaiona hata huko ulaya mchezaji akiondoka kwa kufosi huku timu ikiwa inahitaji huduma yake safari yake ya soka hua inakua ngumu.
Cheki mane coutinho eden hazard hao ni wachache