Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa kutoka Dodoma , ambapo Waziri wa Sheria na Katiba Dr Damas Ndumbaro amewaambiwa Wafanyakazi wa Wizara yake na Waandishi wa Habari kwamba Katiba mpya haikwepeki , kwa vile ndio hitaji la Watanzania kwa sasa.
Ameendelea kueleza kwamba mchakato wa Katiba hiyo tayari ushaiva na kwamba Isipokamilishwa Wananchi watashangaa.
Amedai vipaumbele vikubwa ni kwenye Sheria ya Uchaguzi wa serikali za mitaa , Uchaguzi Mkuu na Tume ya uchaguzi, na mimi naongezea utata mwingine ni ( madaraka ya Rais )