BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tumshauri Mama kuhusu huyu Ndumbaro, naona ana kiherehere, Chama Tawala ni CCM, hadi CCM ikae na Mwenyekiti wake ndio taarifa itatoka, yeye kaanza kuropoka mapema kivipi…
Mama Samia unamuona huyu Ndumbaro, ebu kalamu itembee