Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Tuanze na haya.
1. Tanzania iwe nchi moja kama jina lake. zanzibar kuwe mikoa kama ukerewe na mafia.
Ndugu zetu wa Gando Chakechake sitaki tuachane, la wapemba wa dar na Tanga watatangatanga!
2. Mali zote zilizopatikana wakati wa ccm kikiwa chama kimoja, na ziko mikonon mwa ccm tu leo, zirudi serkalini hasa viwanja, majengo na vitega uchumi vingine maana walichangia raia wote kwa tozo na makato mbalimbali.
3. Tanzania ishikirie msimamo wa kutokuwa ya kijamaa wala kibepari ili tuwe salama na uhuru wa kibiashara. Leo hii tungeshukua mafuta russia!
...samahan nimechanganya matamanio na hali halisi!