Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Naunga mkono hoja na hili jambo akina sisi tulilishauri Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho! na sasa linakwenda kutekelezwa na kutimizwa.Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa kutoka Dodoma , ambapo Waziri wa Sheria na Katiba Dr Damas Ndumbaro amewaambiwa Wafanyakazi wa Wizara yake na Waandishi wa Habari kwamba Katiba mpya haikwepeki , kwa vile ndio hitaji la Watanzania kwa sasa .
Ameendelea kueleza kwamba mchakato wa Katiba hiyo tayari ushaiva na kwamba Isipokamilishwa Wananchi watashangaa .
Binafsi sioni sababu ya kwanini ili suala linacheleweshwa, na linacheleweshwa kwa ajili ya manufaa ya nani?!Katiba Mpya ijadiliwe mara ngapi wakati Rasmu yake iko tayari?
Nafikiri suala ni sisi wananchi kuipigia kura ipite au tuendelee na hii ya sasa
Bendela fata upepoNaunga mkono hoja
P
Hiyo ndio kazi ya bendera ni kupepea tuu, hivyo tunapepea.Bendela fata upepo
CCM imeishiwa mbinu zote na bila kuondoka madarakani nchi haitabadilika. Hata hivyo niko tayari kuunga mkono kwa moyo wote iwapo vyama vyote vya siasa na wananchi kwa ujumla watakubaliana kuwa rais Samia apite bila kupingwa 2025, ila asimamie uandikaji wa katiba mpya kwa muda uliobakia (sasa mpaka 2025) na mwaka 2025 tuanze ukurasa mpya tukiongozwa na katiba mpya. I mean uchaguzi wa wabunge na uundwaji wa serikali ufanyike kwa mujibu wa katiba mpya ila Samia ahakikishiwe nafasi yake 2025 mpaka 2030.Naunga mkono hoja
P
yanayonuna ni mapumbavu ya sukuma gang na nguruwe wa uvccmGood news.....
Wengine wamenuna..
Naunga mkono hoja , na mimi pia hili nimelishauri Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!CCM imeishiwa mbinu zote na bila kuondoka madarakani nchi haitabadilika. Hata hivyo niko tayari kuunga mkono kwa moyo wote iwapo vyama vyote vya siasa na wananchi kwa ujumla watakubaliana kuwa rais Samia apite bila kupingwa 2025, ila asimamie uandikaji wa katiba mpya kwa muda uliobakia (sasa mpaka 2025) na mwaka 2025 tuanze ukurasa mpya tukiongozwa na katiba mpya. I mean uchaguzi wa wabunge na uundwaji wa serikali ufanyike kwa mujibu wa katiba mpya ila Samia ahakikishiwe nafasi yake 2025 mpaka 2030.
upumbavu wa nguruwe uvccm mwisho wao 2025.MICHAKATO YA MAKATIBA YAANZE 2026,ILI IJE KUTUMIKA 2030. A RIGHT TIME.
N. B~Tuwe makini sana wapo maadui,waliojificha kwa ndani sana wenye VINYONGO NA VISASI wanadhani huu ndio utakuwa mlango wao!
Poor You !MICHAKATO YA MAKATIBA YAANZE 2026,ILI IJE KUTUMIKA 2030. A RIGHT TIME.
N. B~Tuwe makini sana wapo maadui,waliojificha kwa ndani sana wenye VINYONGO NA VISASI wanadhani huu ndio utakuwa mlango wao!
labda apite bila kupingwa kwenye chama chake.CCM imeishiwa mbinu zote na bila kuondoka madarakani nchi haitabadilika. Hata hivyo niko tayari kuunga mkono kwa moyo wote iwapo vyama vyote vya siasa na wananchi kwa ujumla watakubaliana kuwa rais Samia apite bila kupingwa 2025, ila asimamie uandikaji wa katiba mpya kwa muda uliobakia (sasa mpaka 2025) na mwaka 2025 tuanze ukurasa mpya tukiongozwa na katiba mpya. I mean uchaguzi wa wabunge na uundwaji wa serikali ufanyike kwa mujibu wa katiba mpya ila Samia ahakikishiwe nafasi yake 2025 mpaka 2030.
Hii ndio Taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa kutoka Dodoma , ambapo Waziri wa Sheria na Katiba Dr Damas Ndumbaro amewaambiwa Wafanyakazi wa Wizara yake na Waandishi wa Habari kwamba Katiba mpya haikwepeki , kwa vile ndio hitaji la Watanzania kwa sasa .
Ameendelea kueleza kwamba mchakato wa Katiba hiyo tayari ushaiva na kwamba Isipokamilishwa Wananchi watashangaa .
,