Ndumbaro Adai Katiba Mpya ni hitaji la Watanzania kwa sasa

Ngoja tumshauri Mama kuhusu huyu Ndumbaro, naona ana kiherehere, Chama Tawala ni CCM, hadi CCM ikae na Mwenyekiti wake ndio taarifa itatoka, yeye kaanza kuropoka mapema kivipi…

Mama Samia unamuona huyu Ndumbaro, ebu kalamu itembee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi wako ule wa SUKUMA GANG umeukimbia mkuu, watu wanatema Nyongo kuhusu ushamba wenu wasukuma.
huyo njaa zaman mlimwamin sana hapa jf but as the time goes on his reputation is tremendously deteriorating I do no why.
 
Samahani mkuu, hapa tunapishana moja kwa moja.

Hicho kiti cha Rais kinahitaji mtu aliye na mapenzi makubwa kwa nchi hii na wananchi wake, mapenzi yasiyotetereka hata kwa dakika moja. Huyu hana sifa hiyo.

Anaipenda sana Zanzibar, sawa, lakini hana mapenzi na Tanzania.
Tanzania ni fursa tu kunufaisha aliko na mapenzi nako.

Miaka mingine mitano chini ya huyu, ni mzigo mzito kwa Tanzania kuubeba.
 
Tunapaswa tujifunze kwa majirani zetu wa Kenya ambao waliandika katiba mpya na Bora zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,

lakini tumeshuhudia kila baada ya uchaguzi Mkuu bado kuna matatizo, upinzani wanadai kuibiwa!! Mahakama ikitoa uamuzi bado wanapinga na kuona mahakama haikutenda haki!!!

Raila kila uchaguzi hana Imani na tume ya uchaguzi!!!! ambayo ni tume huru ya uchaguzi.

Kwa maana hiyo kuwa na katiba mpya bado sio ufumbuzi.

Tutajidanganya buree, UADILIFU wa viongozi na watendaji ndio ufumbuzi wa kila kitu sio kitabu Cha katiba mpya
 
Umenikumbusha mkutano wangu wa kwanza kumsikiliza mchungaji Mtikila (RIP). Alisema Tanganyika ndiyo nchi pekee inayoongozwa na raia kutoka nchi nyingine. Wote tukashangaa kwa nini anasema hivyo! Ndipo akasema Mwinyi hafai kuwa rais wa Tanganyika hivyo arudi kwao! Tulicheka sana. Nakubaliana na wewe kuwa hana sifa, hasa vision anazotakiwa kuwa nazo kiongozi wa hiyo ngazi. Hata teuzi zake zinaonyesha kwani anapenda watu wa low level of thinking!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…