Ndumbaro anapata wapi ujasiri wa kusafiri na timu ya watu 7 tu Olympic Ufaransa timu anayojua itakayorudi bila medali!?

anajisikia vema kabisa. and proud of this nonsense.....kama mamlaka yake ya uteuzi inaweza kuruhusu kwatu wale kwa urefu wa kamba zao, unadhani kuna kujisikije tanzania?
Kama kuna nchi ingepaswa kupeleka waziri wake huko basi na angalau wakenya na waganda ambao kila mwaka hupeleka wanamichezo wengi na wanaoshinda medali!! Sasa huyu ndumbaro anaenda kufanya nini!?
 
huyo akirudi tu anakutana na panga la samia. halafu wanaolimpic wa bongo hatuwaoni kwenye list ya medali, tunaona za nchi zingine tu, wao wamejificha wapi au wamepotelea mtaani au wameenguliwa? kama wameenguliwa apandishwe ndege kwa lazima pamoja na waziri na timu yake warudishwe bongo. kuna kazi nyingi za kufanya.
 
Ccm hawataki katiba mpya kwa sababu katiba ya mkoloni inawanufaisha kama hivyo. Hapo hakuna cha rais wala waziri mkuu atakayeshtushwa na kuhoji hilo kwa sababu wao nao ni wale wale.
 
Mambo kama haya magufuli aliweza kudhibiti tuwe wakweli , sasa waziri anaenda kufanya nini kweli kama siyo kuchezea pesa za walipa kodi
Jiwe hakuwa mzalendo kwa sababu naye aliikataa katiba. Angekuwa mzalendo wa kweli angebadili mfumo wa uendeshaji serikali kwa kusimamia upatikanaji katiba mpya, yeye akatanguliza uchama mbele na mambo yanaenda kama alivyokuta.
 
Kwani tatizo ni nini si kaenda kuwapa nguvu?mbona nchi moja majirani kusini mwa nchi yetu kuna wanamichezo 9 na viongozi 67 hamseni.ccm mbele kwa mbele.
 
Jiwe hakuwa mzalendo kwa sababu naye aliikataa katiba. Angekuwa mzalendo wa kweli angebadili mfumo wa uendeshaji serikali kwa kusimamia upatikanaji katiba mpya, yeye akatanguliza uchama mbele na mambo yanaenda kama alivyokuta.
Siyo kweli aliyevuruga katiba ni jk wakati alipotoa hotuba yake bungeni.jpm mnamwomea muwe wakweli
 
Hivi kwani Olimpiki anaenda yeyote tu au ni lazima akidhi vigezo vya mashindano hayo?

Jiwe hakuwa mzalendo kwa sababu naye aliikataa katiba. Angekuwa mzalendo wa kweli angebadili mfumo wa uendeshaji serikali kwa kusimamia upatikanaji katiba mpya, yeye akatanguliza uchama mbele na mambo yanaenda kama alivyokuta.
Katiba mpya ndiyo uzalendo!!?
 
Kwa faida yako pamoja na wapumbavu wengine acha nitoe ufafanuzi. Ili mtu ashiriki mashindani ya Olympic lazima awe amefikisha vigezo vilivyowekwa na kamati ya olimpiki ya dunia. Kwa mfano ili mwanariadha ashiriki mbio za Marathon kwenye olimpiki 2024 lazima awe ameshiriki kwenye mashindano yanayotambulika na shirikisho la riadha duniani kati ya 30th December, 2022 na June 2024 na awe amekimbia kwa muda usiozidi masaa 2:08:10, hapo ndo utaona kwenye hicho kigezo ni watanzania wawili tu walioweza kufanya hivyo. Hata kama serikali ingekuwa na nia ya kupeleka wachezaji 1000 isingewezekana kama hao wachezaji hawana rekodi zozote zinazotambulika kimataifa kwenye michezo wanayoshiriki. China yenye watu zaidi ya bilioni 1 imefanikiwa kupeleka wanariadha watatu tu kwenye marathon. USA na utajiri wake imefanikiwa kupeleka wanariadha wawili tu wa marathon.

Badala ya kumlaumu waziri Ndumbaro walaumu BMT, TFF, AT na vyama vingine vya michezo kwa kushindwa kuwasaidia wachezaji kushiriki mashindano makubwa yanayotambulika ili kupata vigezo vya kushiriki olimpiki. Kwa mfano hizi marathon nyingi zinazofanyika ni kama takataka kwasababu hazitambuliki na shirikisho la riadha duniani. Kilimanjaro marathon peke yake ndo inatambulika.
 
Hivi kwani Olimpiki anaenda yeyote tu au ni lazima akidhi vigezo vya mashindano hayo?

View attachment 3057299
Wee jamaa ili wanamichezo wetu wakidhi vigezo Ni lazima serikali awekeze ili kuandaa wanamichezo kuanzia chini,tunacholaumu hapa Ni serikali badala ya kukaa na kuona Ni Namna gani wataongeza wanamichezo wenye viwango vya kushiriki wao wanaenda wenyewe kutalii aaah yani ujingaujinga tu
 
Anatakiwa kutumbuliwa.
 
Wewe ndio mpumbavu WA kiwango cha juu kwaiyo yeye km waziri ana mchango gani kwenye iyo wizara km ameshindwa kuzisimamia taasisi zilizo chini yake?
 
Wewe ndio mpumbavu WA kiwango cha juu kwaiyo yeye km waziri ana mchango gani kwenye iyo wizara km ameshindwa kuzisimamia taasisi zilizo chini yake?
Wewe mshenzi unadhani kupata viwango vya olimpiki ni kazi ya siku moja? Ndumbaro ana miaka mingapi pale wizarani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…