Ndumbaro anapata wapi ujasiri wa kusafiri na timu ya watu 7 tu Olympic Ufaransa timu anayojua itakayorudi bila medali!?

Ndumbaro anapata wapi ujasiri wa kusafiri na timu ya watu 7 tu Olympic Ufaransa timu anayojua itakayorudi bila medali!?

Hahusiki vipi wakati ni wizara yake?
Mbona sehemu nyingine mnasema ni kazi ya BMT sijui AT, TFF kuandaa wachezaji na siyo Waziri? Kama hahusiki kwenye maandalizi na kuhakikisha tuna wachezaji wengi wa viwango vya Olympic means hahusiki kwenda. Siyo kunapohitajika resources mnasema hahusiki, hap wachache waliojipambania kufikia viwango mnataka msindikize. Why?
 
Tanzania viongozi wameenda wangapi?
Yaani hiyo kwenda waziri ndipo tatizo huanzia maana ukisikia waziri usijekudhani anaenda kama ww na mimi ni lazima aambatane na watu kwa uchache sana 6-7 hoteli atakayotakiwa kulala sio zile wanaolala wanamichezo. Sasa swali langu hivi waziri ana lipi la kujivunia wakati mimi raia wa kawaida naiona failure!?
 
Halafu Kuna mahali nimesikia akimsifia bondia aliyepigwa kuwa kafa kiume,,hii nchi tuna safari ndefu sanaa
 
Back
Top Bottom