maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Mbona sehemu nyingine mnasema ni kazi ya BMT sijui AT, TFF kuandaa wachezaji na siyo Waziri? Kama hahusiki kwenye maandalizi na kuhakikisha tuna wachezaji wengi wa viwango vya Olympic means hahusiki kwenda. Siyo kunapohitajika resources mnasema hahusiki, hap wachache waliojipambania kufikia viwango mnataka msindikize. Why?Hahusiki vipi wakati ni wizara yake?