Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mheshimiwa waziri nimekusikia na kukuona kwenye mitandao ukiwa site huko manyara ukizungumza kuanzisha kituo cha michezo hasa riadha, na kuwaza kushinda mashindano mbalimbali;
Sasa ili ufanikiwe kwenye riadha, sumu kali ipo kwenye kamati ya olimpiki Tanzania (TOC) ikiongozwa zaidi na fisadi mkuu, katibu wa TOC Filbert Bayi Sanka, makamu wa rais Henry Tandau na rais wao Ghulam;
Au ikiwezekana FUTA KAMATI YOTE YA OLIMPIKI TANZANIA (TOC) , ni wezi, Wachawi na walafi wa madaraka.
Filbert bayi hataki mwanariadha yeyote atoboe na kumzidi, mbinafsi sana.
Pia soma:DOKEZO - Kwani Serikali inamuogopa Bayi na wenzake? Hatupati Medali Olimpiki kutokana na makandokando ya Viongozi wa juu wa TOC