Ndumbaro ili ufanikiwe kwenye Riadha Vunja Kamati ya TOC na hawa Wazee Filbert Bayi, Henry Tandau na Ghulam Rashid waondoke madarakani

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
IMG_2374.jpeg

Mheshimiwa waziri nimekusikia na kukuona kwenye mitandao ukiwa site huko manyara ukizungumza kuanzisha kituo cha michezo hasa riadha, na kuwaza kushinda mashindano mbalimbali;

Sasa ili ufanikiwe kwenye riadha, sumu kali ipo kwenye kamati ya olimpiki Tanzania (TOC) ikiongozwa zaidi na fisadi mkuu, katibu wa TOC Filbert Bayi Sanka, makamu wa rais Henry Tandau na rais wao Ghulam;

Au ikiwezekana FUTA KAMATI YOTE YA OLIMPIKI TANZANIA (TOC) , ni wezi, Wachawi na walafi wa madaraka.

Filbert bayi hataki mwanariadha yeyote atoboe na kumzidi, mbinafsi sana.

Pia soma:DOKEZO - Kwani Serikali inamuogopa Bayi na wenzake? Hatupati Medali Olimpiki kutokana na makandokando ya Viongozi wa juu wa TOC
 
View attachment 3084651

Usipoteze muda kumshauri huyu Waziri mwenye uso wa mviringo. Hakuna kitu anaweza, hawa akina Ndumbaro wanepata ubunge bila kuchaguliwa, uwaziri wanaupata kwa sababu ya kupigiwa debe na Jenista Mhagama

Huyu ndiye wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii.
 
Naunga mkono hoja..mchango wa Bayi et al, (kama upo) unatosha.. Waje watu wapya ,wenye exposure kubwa na wqpenda michezo waongoze hii TOc...

Pia tujue upatikanaji wa hao wajumbe wanaopiga kura kwa hao wakina Bayi kila mara
 
Upo sahihi hao Wazee wapo hapo kwa ajili ya kuiba tu na si kutafuta vipaji Tanzania nzima hakuna kitu wanafanya ni kama FAT ya kina mzee Ndolanga tu.
 
Naunga mkono hoja..mchango wa Bayi et al, (kama upo) unatosha.. Waje watu wapya ,wenye exposure kubwa na wqpenda michezo waongoze hii TOc...

Pia tujue upatikanaji wa hao wajumbe wanaopiga kura kwa hao wakina Bayi kila mara
Wajumbe wanahongwa wanapiga kura.
 
Naunga mkono hoja..mchango wa Bayi et al, (kama upo) unatosha.. Waje watu wapya ,wenye exposure kubwa na wqpenda michezo waongoze hii TOc...

Pia tujue upatikanaji wa hao wajumbe wanaopiga kura kwa hao wakina Bayi kila mara
Wajumbe ni wote wana olimpians na baadhi ya wajumbe wa kuteuliwa
 
Back
Top Bottom