Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

MIRIMA

Senior Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
126
Reaction score
357
Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa

Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke kidogo kukuondoa.

Pamoja na uzoefu wako wa uongozi unashindwa na Gachagua aliyekuwa (DO) Division officer kabla ya kuwa naibu rais .

Kwa pamoja jana nilifrahia mahojiano kati ya wakili wa Gachagua na shahidi wa bunge la Kenya ,kwa maswali yale ndio mana wakili wetu hawashindi kesi zetu huko Ulaya.

Mbunge Ndungai uliondoka kiurahisi sana au ulitegemea utarudishwa tena ? au kwa kuwa ni lazima ujae kwenye mfumo .
 
baadae mngeanza kusema mrafi wa madaraka!, umeona hiyo breaking news wameshaanza sasa..!
 
Akipigiwa kura na senate kuondolewa Gachagua haruhusiwi kugombea cheo chochote cha kisiasa milele Kenya

Ndugai Ruksa kugombea cheo chochote kisiasa sababu hakusibiri bunge kutoa uamuzi kama Gachagua
 
Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa

Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke kidogo kukuondoa.

Pamoja na uzoefu wako wa uongozi unashindwa na Gachagua aliyekuwa (DO) Division officer kabla ya kuwa naibu rais .

Kwa pamoja jana nilifrahia mahojiano kati ya wakili wa Gachagua na shahidi wa bunge la Kenya ,kwa maswali yale ndio mana wakili wetu hawashindi kesi zetu huko Ulaya.

Mbunge Ndungai uliondoka kiurahisi sana au ulitegemea utarudishwa tena ? au kwa kuwa ni lazima ujae kwenye mfumo .
Mafaoooomafaoonduguuu woii
 
Kenya Kuna katiba inayosaidia huo ubishi!
Ilihitajika Mzee malechela aende kwa ndugai kumwambia ajiuzulu!

Unajua maana yake!!?angeleta ubishi ingekua Sasa tunamuita hayati!!

Mzee ashukuriwe sana!
 
Akipigiwa kura na senate kuondolewa Gachagua haruhusiwi kugombea cheo chochote cha kisiasa milele Kenya

Ndugai Ruksa kugombea cheo chochote kisiasa sababu hakusibiri bunge kutoa uamuzi kama Gachagua
Angekua mjanja angejiuzulu huko huko 'hospitali' au mawakili watume cheti cha kifo kwa Spika.
 
baadhi ya watanzania wanaiona kenya kama Mbingu kwao ingawa wakenya hawawashobokei watanzia zaidi ya kuwaona kama mazuzu
Cheki na huyu popoma ,watanzania kufuatilia mambo yanayofanyika nchi mbali mbali sio kwamba wanayatazama kama mbinguni ,kwa hiyo unataka waishi kama raia wa Korèa kaskazini ?

Wewe kama huyafuatili sio sababu ya wengine kutofuatilia ,kwa hiyo usichukulie wengine kiurahisi kwa kuwa wanafuatilia..sawa POPOMA.
 
Bora aliwahi
Kuliko kusubiri fedheha
 
Attachments

  • 1729196763400.jpg
    1729196763400.jpg
    371.3 KB · Views: 3
Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa

Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke kidogo kukuondoa.

Pamoja na uzoefu wako wa uongozi unashindwa na Gachagua aliyekuwa (DO) Division officer kabla ya kuwa naibu rais .

Kwa pamoja jana nilifrahia mahojiano kati ya wakili wa Gachagua na shahidi wa bunge la Kenya ,kwa maswali yale ndio mana wakili wetu hawashindi kesi zetu huko Ulaya.

Mbunge Ndungai uliondoka kiurahisi sana au ulitegemea utarudishwa tena ? au kwa kuwa ni lazima ujae kwenye mfumo .
Yule aliondolewa na mkwara wa uvccm
 
Angethubutu kuleta ubishi, zingeanza hashtag za Bring Back our speaker.

Kimsingi Samia angekunywa blood yake.
 
Bora aliwahi
Kuliko kusubiri fedheha
Kwa hali jinsi ilivyokuwa DP Gachagua alipaswa kujiudhuru haraka Sana mara tu alipopigiwa kura na Wabunge juu ya kukosa Imani naye. Kwa namna yoyote ile Gachagua asingeweza kunusurika kwenye vurumai hiyo kwa sababu tayari alishazingirwa na maadui zake na kuwekwa mtu Kati.
 
Back
Top Bottom