Ameonewa kwa namna gani? Karibu asilimia 90% alishajitetea yeye pamoja na mawakili wake, ilibaki leo amalize utetezi wake, pengine ingepunguza kama.si kuondoa.hizo.tuhuma 11, ambazo 5 ameshindwa, nusu nzima jumla ya tuhuma.
Yeye akakimbilia hospitali kutafuta public sympathy ..sasa huko.mahakamani sioni chochote kitakachotokea watamchosha tu chief justice martha, na kaa ukielewa Ruto ndio yuko nyuma ya hili jambo, hawawez kufanya kazi pamoja tena, yani wewe unataka kunipindua mimi rais kijanja kwa kujilimbikizia mali na utajir , matumiz mabaya ya ofisi na kufazili maandamano ili iwe rahis kwako nikuache madarakani ? Sio ruto.