Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

Kujiuzulu isingekuwa sawa process yote ingefaa ikamilike, kujiuzulu ingekuwa kuficha tuhuma...sasa hivi ndio inaonekana ameonewa na ndio anachotaka ile akasafishe jina lake mahakamani
 
Kujiuzulu isingekuwa sawa process yote ingefaa ikamilike, kujiuzulu ingekuwa kuficha tuhuma...sasa hivi ndio inaonekana ameonewa na ndio anachotaka ile akasafishe jina lake mahakamani
Ameonewa kwa namna gani? Karibu asilimia 90% alishajitetea yeye pamoja na mawakili wake, ilibaki leo amalize utetezi wake, pengine ingepunguza kama.si kuondoa.hizo.tuhuma 11, ambazo 5 ameshindwa, nusu nzima jumla ya tuhuma.
Yeye akakimbilia hospitali kutafuta public sympathy ..sasa huko.mahakamani sioni chochote kitakachotokea watamchosha tu chief justice martha, na kaa ukielewa Ruto ndio yuko nyuma ya hili jambo, hawawez kufanya kazi pamoja tena, yani wewe unataka kunipindua mimi rais kijanja kwa kujilimbikizia mali na utajir , matumiz mabaya ya ofisi na kufazili maandamano ili iwe rahis kwako nikuache madarakani ? Sio ruto.
 

Ruto anajua technique nyingi...jenga picha kipindiyupo NO referendum wakiwa na Raila na
Ruto ana technique nyingi...fikiria kipindi wapo NO refarendum na Raila against Kibaki ...Machafuko 2007/2008 ...Kustakiwa na kushinda kesi the Hague.... Kuwa naibu rais Uhuru na kufarakana nae....Kuwa rais ..jamaa ana technique nyingi mnoo...Mpaka kufika hapo amepitia mengi..
Bora aliwahi
Kuliko kusubiri fedheha
 

Ruto anajua technique nyingi...jenga picha kipindiyupo NO referendum wakiwa na Raila na
Ruto ana technique nyingi...fikiria kipindi wapo NO na Raila against Kibaki ,
Bora aliwahi
Kuliko kusubiri fedheha
Hakuna cha fedheha ametolewa kiujasiri ...sio Ndungai dakika moja tu ashaandika barua na kulialia amekosea.
 
Kwa kweli yule boya wa Dom alikufa kifo cha mende,wakati tulijua yeye ni mamba.
Tanzania mamlaka ya Rais ni sheria, akisema no one kuhoji,ni utekelezaji tu, siyo kama mamlaka ya Mahakama, lazima msikilizane pande zote mbili kwanza ndiyo maamuzi yatoke kama wanavyo fanya huko kwenye eti Rais wa Nchi aangaike kumfukuza mtumishi wake asiye na nidhamu kwake hadi huko kwenye mabaraza, Ruto hana nguvu kama Samia!!
 
Hivi ni kweli Makamo alitaka kupindua Rais!? Kisa nini!? Mshahara mdogo anamlipa au anataka ninii!?
 
Mkuu Rais hana Malaka wa kumwodoa Ndungai..Ndungai ilikuwa aondolewe kama njia inayoendana na iliomtoa Gachagua...Bunge ndio wanamamlaka wa kumwondoa spika..hiyo inajulikana hata ka sisi tusiyosoma sheria..
 
Mkuu Rais hana Malaka wa kumwodoa Ndungai..Ndungai ilikuwa aondolewe kama njia inayoendana na iliomtoa Gachagua...Bunge ndio wanamamlaka wa kumwondoa spika..hiyo inajulikana hata ka sisi tusiyosoma sheria..
Mkuu Mihimili ni kweli iko mitatu, ila kuna mmoja umejichimbia zaidi! Nilimsikia Mwendazake akisema!!
 
Akipigiwa kura na senate kuondolewa Gachagua haruhusiwi kugombea cheo chochote cha kisiasa milele Kenya

Ndugai Ruksa kugombea cheo chochote kisiasa sababu hakusibiri bunge kutoa uamuzi kama Gachagua
Kàtibà ya TZ haina utaratibu kama wa kenya
 
Kabisa mkuu kwa ubabe ule alipaswa kudinda kwa sababu Rais hana mamlaka wa kumtengua
Labda naye aliingia kirahisi mno, hivi huyu spika tuliyenaye akipishana na rais unadhani inaweza kuchukua dakika ngapi kumwondoa.
 
Walaaaa asingewezaa maaana

Wangempoteza hawa watuu ,

Na kingetokea kijitu mtuu huko kwenywe bunge lake aseme hawana imani na yeye wangeshabikia kina Msukuma alafu ndio mwisho wake
 
Kenya Kuna katiba inayosaidia huo ubishi!
Ilihitajika Mzee malechela aende kwa ndugai kumwambia ajiuzulu!

Unajua maana yake!!?angeleta ubishi ingekua Sasa tunamuita hayati!!

Mzee ashukuriwe sana!
Ni kweli, wangeweza kumuondoa kibingwa kwa njia kama ile waliyotumia kwa Horace Kolimba
 
Ndugai alipewa tu barua ya kujiuzulu asaini. Tena na atoke hadharani aseme nimekosa Mimi nimekosa Sana. Mara mia ukacheze na Simba kule Mikumi ila sio system
 
Sawa wakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…