mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Nani atawaamini hawa?
Tumwamini nani? Mana nyie kila siku ni kuzusha uongo tu.Nani atawaamini hawa?
Tume wameharibu wenyewe uchaguzi kizembe sana, unawazuiaje mawakala wa vyama kuingia vituoni huku akidai watu wasilinde kura?Chadema ni mabingwa Wa kutengeneza matukio. Wameambukiza na ACT
Ulitegemea wakubali kwamba ni feki?Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma...
Sisi, hii ndo demokrasia amini unachotakaNani atawaamini hawa?
Karibu SegereaNgoja tugawane majengo leo ndio mtajua ujinga mwisho.
Nani atawaamini hawa?
[/QUOTE
Watanzania wote wazalendo. Katafuteni tume yenu ya Ubelgiji ndio muiamini.
Mnagawania hapa jf?Ngoja tugawane majengo leo ndio mtajua ujinga mwisho.