Uchaguzi 2020 NEC: Hakuna uthibitisho wa kura feki, taarifa hizo zipuuzwe

Yaani utengeneze kaclip ukarushe mtandaoni utegemee kila mtu aamini maigizo yako.

Hao watuhumiwa waliokamatwa nazo wako wapi.

Taarifa kwa tume?

Ushahidi wa hizo kura uko wapi? Waliupeleka Polisi, yaani kwamba mtuhumiwa yuko polisi pamoja na hizo kura alizokamatwa nazo??
 
Upinzani wa mitandaoni tangu lini ukachukua nchi?

Vijana hawakujitokeza kabisa kupiga Kura!!
 
Kila drama zenu, zinagonga mwamba. Kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Mungu ibariki Tanzania, Tanzania ya kijani inakuja.
 
Chadema ni mabingwa Wa kutengeneza matukio. Wameambukiza na ACT
Una uhakika?
Punguza porojo!
Ushahidi upo mbona
Msiwe kama Tomaso
ccm wawe na uchaguzi huru na wa haki hahahahhh labda dunia imeumbwa jana
Ok kama watengeneza matukio polisi jeshi vibaka wa nini ? Si watu waende tu bila vitisho!
 
Yaani utengeneze kaclip ukarushe mtandaoni utegemee kila mtu aamini maigizo yako.

Hao watuhumiwa waliokamatwa nazo wako wapi.

Taarifa kwa tume?

Ushahidi wa hizo kura uko wapi? Waliupeleka Polisi, yaani kwamba mtuhumiwa yuko polisi pamoja na hizo kura alizokamatwa nazo??
 
Na kweli umekaa ofsini utambiwa na nani wakati ulio watuma ndo washiriki wa mchezo, pepo mtaiskia vitabuni vitakatifu tuu

Wahini kutangaza raisi tuendeleee na maisha, ili tuagize zile ndege zetu 8
 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma.

Amewataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura katika muda huu mchache uliobaki.

Mwambieni huyo mpuuzi kuwa hapa ni Zanzibar na Lori mbili zilizojaza jura zilizopigwa mgombea wa CCM zimekamatwa baada ya kiroba kuangushwa kutoka mojawapo ya Lori na mtu asiyependa dhuluma. Wamebumbulika na kuumbuka vibaya. Imagine Lori mbili zimejaza kura
20201028_164417.jpg
 
Yaani utengeneze kaclip ukarushe mtandaoni utegemee kila mtu aamini maigizo yako.

Hao watuhumiwa waliokamatwa nazo wako wapi.

Taarifa kwa tume??

Ushahidi wa hizo kura uko wapi?? Waliupeleka Polisi, yaani kwamba mtuhumiwa yuko polisi pamoja na hizo kura alizokamatwa nazo??
 
Matusi hayaondoi ukweli kuwa nyie ni wajinga na msifikiri kila mtu ni mjinga kama nyie, na ana mawazo ya kijinga kama yenu.
 
Siasa ni km vita , watu wanatumia kila njia ku win. Kura feki ni propaganda kwa ajili ya kuja kukataa matokeo baada ya kushindwa. Binafsi nimeshawapuuza.
 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma.
Amewataka wananchi kuendelea kujitokeza kupiga kura katika muda huu mchache uliobaki....
Tunawapuuza NECCCM Tumeccm kwa kuzani Watanzania ni wajinga kama wao
 
Back
Top Bottom