Uchaguzi 2020 NEC: Hakuna uthibitisho wa kura feki, taarifa hizo zipuuzwe

Uchaguzi 2020 NEC: Hakuna uthibitisho wa kura feki, taarifa hizo zipuuzwe

Habari nzuri sana kwa sisi Wananchi wazalendo

Magufuli ni kiongozi mzuri sana kuwahi kutokea mpenda na msimamia haki...

💛 💚 💛 💚 💛
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji kuwapi risasi wapinzani?
 
Huu uchaguzi umekuwa huru,wazi na haki wapinzani acheni visingizio.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Watanzania wa wapi unawasemea? au watanzania wa hapo unaposhinda ukivuta Bangi? uongo uonevu unyanyasaji vipo CCM
Subiri matokeo utajua watanzania wako upande wa nani. CHADEMA bado sana
 
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage amesema Tume hiyo haijapokea taarifa za uwepo wa kura feki katika majimbo ya Kawe, Pangani na Kigoma...
Inatakiwa ifanyike nini au itumike njia gani ili ziwasilishwe tume? Je Wananchi wanatakiwa wafanye nini ili tume ikubali uwepo wa Kura fake?
 
Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji kuwapi risasi wapinzani?

Kwani humu kwa upinzani wanapendana 100%... ondoeni porojo.. uchaguzi wote hamjaguswa.. wangekuwa hivyo si wangewamaliza tu.. kama kumbikumbi.. tulieni muache kufata porojo za kuwa hamjui lolote.. kis ammejaa hasira za kutoweza kuwa mafisadi na vyeti feki na kudokoa pesa kazini n.k.

sherehe umeshaanza leo ni 💚 💛 💚 💛 💚
 
Ila kuna mambo yanaudhi aisee.. ngoja niende Chitchat tu..
 
NEC walijitamba kwa mara ya kwanza tunagharimia uchaguzi kumbe wanagharimia wizi tu ni aibu
 
Habari nzuri sana kwa sisi Wananchi wazalendo

Magufuli ni kiongozi mzuri sana kuwahi kutokea mpenda na msimamia haki

tano tena kama kawa, Tanzaniainaendeda kushangaza dunia tena

Chaguo la Mungu

💛 💚 💛 💚 💛
Mbona kazima internet., labda mungu Wa wale waganga 900
 
Back
Top Bottom