Reykijaviki
JF-Expert Member
- Aug 25, 2020
- 426
- 653
Asante kwa ushauri japo wa kijinga Lakini naupokea!Kwa nini wewe usijaribu. Popote pale hapa duniani kuna taratibu kama ukishindwa kufuata sheria kwa nini wewe usiwe wa kwanza unatuma wenzako? Kazi kujazana ujinga badala ya kufanya kazi.