Reykijaviki JF-Expert Member Joined Aug 25, 2020 Posts 426 Reaction score 653 Oct 22, 2020 #281 Wacha1 said: Kwa nini wewe usijaribu. Popote pale hapa duniani kuna taratibu kama ukishindwa kufuata sheria kwa nini wewe usiwe wa kwanza unatuma wenzako? Kazi kujazana ujinga badala ya kufanya kazi. Click to expand... Asante kwa ushauri japo wa kijinga Lakini naupokea!
Wacha1 said: Kwa nini wewe usijaribu. Popote pale hapa duniani kuna taratibu kama ukishindwa kufuata sheria kwa nini wewe usiwe wa kwanza unatuma wenzako? Kazi kujazana ujinga badala ya kufanya kazi. Click to expand... Asante kwa ushauri japo wa kijinga Lakini naupokea!
Bia yetu JF-Expert Member Joined Apr 14, 2020 Posts 6,921 Reaction score 8,321 Oct 22, 2020 #282 Chadema wakivunja sheria washughulikiwe
Reykijaviki JF-Expert Member Joined Aug 25, 2020 Posts 426 Reaction score 653 Oct 23, 2020 #283 Benny Haraba said: Hata wapige kelele kura zitalindwa tu kwa figiso hili la mawakala 'no hate no fear' Click to expand... Ukipiga kura Linda kura yako, Mh Sugu Uyole Mbeya 2020.Kazi ni moja tu ukipiga kura ilinde! Your browser is not able to display this video.
Benny Haraba said: Hata wapige kelele kura zitalindwa tu kwa figiso hili la mawakala 'no hate no fear' Click to expand... Ukipiga kura Linda kura yako, Mh Sugu Uyole Mbeya 2020.Kazi ni moja tu ukipiga kura ilinde! Your browser is not able to display this video.